Wewe ungekuwa milionea Km ungekuwa haya mawazo unayafanyia kazi upo km watu wa Clouds na vifursa vyao uchwaraAcha kulia lia humu. Tumia hilo tatizo kama fursa, kopa pesa mahali chimba Maji ardhini uzia wenzio hapo, chimba underground tank la Lita hata laki 5 , kinga Maji ya mvua na ikikatika treat hayo Maji kwa water guard then anza kuuza.
Mwakani wee milionea
Siyo rahisi kama unavyodhani....... huna tofauti na wanasiasa wanaosema vijana wajiajiri wakati ndo kwanza wamemaliza vyuo na hawana hata dhamana ya kukopea benki.Acha kulia lia humu. Tumia hilo tatizo kama fursa, kopa pesa mahali chimba Maji ardhini uzia wenzio hapo, chimba underground tank la Lita hata laki 5 , kinga Maji ya mvua na ikikatika treat hayo Maji kwa water guard then anza kuuza.
Mwakani wee milionea
Mkuu unamaanisha hayo maji yanayotoka mara moja kwa mwezi? Watu wanagaiwa ndoo kumikumi, acha masihara na maisha ya binadamu mwenzako,Gairo hakuna maji ? Nani kasema ? Anaeruhusiwa kusema hakuna maji ni mbunge tu... Wewe naona umetumwa na wapinzani utuchafue viongozi wa ccm. USHINDWE NA ULEGEE
Mwambie mbunge wako.....Jamani huku kwetu morogoro wilaya ya Gairo kuna shida sana ya maji yaana unakuta maji yanakaa muda mrefu hayatoki kiasi kwamba ndoo moja 1500 halafu mbunge yupo Dodoma anakula bata inauma sana
yawezekana mnalipwa mlichooJamani huku kwetu morogoro wilaya ya Gairo kuna shida sana ya maji yaana unakuta maji yanakaa muda mrefu hayatoki kiasi kwamba ndoo moja 1500 halafu mbunge yupo Dodoma anakula bata inauma sana
nimecheka sana leo kwani wangechagua upinzania maji yangepatikana.maana ke ukame tuLakini si hua mnaichagua ccm kwa kura nyingi? Iweje hata maji hampati?
Hio sarafu vipi ndugu?nimecheka sana leo kwani wangechagua upinzania maji yangepatikana.maana ke ukame tuView attachment 461780