Gaël Bigirimana akamilisha Dili la Kujiunga na Yanga SC Kutoka UK

Aje tu.Kama Jabir Aziz aliweza kuifunga Brazil ya akina Dani Alves unadhani Yanga ya Gael Bigirimana haitafungika?

Halafu huyo hatakuwa na maajabu yoyote sawa na Bertram Mwombeki na Saido Ntibanzokiza waliosajiriwa Simba na Yanga wakitokea Marekani na Ufaransa.
 
Awe na kiwango kilekile kisha aachand na soka la ulaya aje bongo, tena akiwa free agent? Unajua kuna vitu vingine tuwe tunajiuliza kwa akili zetu za kawaida tu.
Kama unajua vizuri huyo aliyesema hivyo wala usingejisumbua kutoa elimu yako..Ni member wa hovyo sana yaani..!

Hivi mchezaji awe anacheza EPL kwa kiwango, unafikiriaje kuwa amesajiliwa Yanga bado akiwa na kiwango hicho hicho cha EPL.
 
Watanzania wameshakuwa malimbukeni na washamba kwa wachezaji wanaotoka nje ya nchi.
 
Hoja yangi ni kwamba angekuwa na kiwango kilekile alichokuwa nacho wakati yupo Newcastle, angeifikiria Yanga?

Swala la level za ligi hata mimi najua, na siwezi kupingana na wewe.
Hata akiwa nusu ya kiwango alichonacho still anaweza kucheza ligi yetu na ya michuano ya caf kutokana na level ya ligi aliyochezea na huku za zakwetu
 
Sasa kama ni kweli ametoka ulaya unataka tuseme katoka wapi?
Mbona mnakosa uvumilivu kwa mambo madogo tuu? Kuweni na subira kama mzuri mtajionea na kama wakawaida mtamkosoa na kumponda mtakavyo.
NB ni kweli ametoka ulaya ata kama itawauma
Kuna timu ilisajili wabazil kutoka India hivi bado wapo?

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Numbers don't lie

Screenshot_2022-07-08-04-29-55-1.png
 
Hata akiwa nusu ya kiwango alichonacho still anaweza kucheza ligi yetu na ya michuano ya caf kutokana na level ya ligi aliyochezea na huku za zakwetu
Hilo sikatai mkuu kwa huku kwetu huenda atacheza vizuri tu(probability), ninachokataa ni ile kauli ya kusema....

"Mchezaji hatari kusajiliwa kutoka Uk"

Hakuna namna yoyote hatari anaeweza kutoka ulaya kurudi kwenye ligi isiyokuwa hata na viwanja.

Tumuacheni aje aprove alichanacho kwa huku africa kabla hatujampa huo uhatari.
 
Hata Aucho na Djuma Shaban hawakuwa kwenye viwango vya walikotoka. Lakini kwa Tanzania wakawa bora kuliko waliowakuta.
Nimesema na nitaendelea kusema kuwa, hakuna mchezaji aliye kwenye kiwango chake(prime) huko ulaya anaeweza kuja kucheza bongo hapa.

Ni lazima tukubali kwanza kuwa huyo mchezaji hana soko kule kwahiyo anakuwaja bongo kutafuta nafasi.

Huku Africa anaweza kufanikiwa lakini bado ni probability, kwahiyo ondoeni vitisho vya kusema ni mchezaji HATARI.
 
Umeandika kwa uchungu sana aisee.
Nadhan unachotaka tuseme wakawaida kitu ambacho hakiwezekani.. ukweli ni kwamba kwa ligi yetu ni mchezaj hatar na anapaswa kupewa sifa hizo
 
Back
Top Bottom