Gado: Magufuli and his cheerleaders

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
51,980
114,291
Jan.17.17.Cheering.On_.Magufuli-595x450.jpg
Msaani wa katuni mtanzania anayechorea DW ametoa ujumbe wa katuni.Ametafasiri ukimya wa watangulizi wa Magufuli juu ya yanayoendela nchi hii

Nini maoni yako mdau?
 
Hiyo picha ya ukutani amenuna na kukasirika lakini hana la kufanya. Hawa watatu wao wanajionea ni safi tuu wanachekelea.
Ujumbe mkali sana kwa hao wazee watatu.
 
picha ya baba wa taifa kama anataka kulia vile, ebu mchek kwa mbaaaalii
 
Mungu atamuhukumu kwa anayoyafanya. Mtu gani anayesema yy ni rais wa wanyonge halafu wapokumbwa na njaa anadai hawapi chakula
Yeye mwenye! Na unajua, yeye anaamini kuwa anawatetea wanyonge, hata anapowatolea lugha za kejeli na utani usiomstahiki yeyote kwa wakati tulio nao. Mungu amsamehe tu bure!
 
Back
Top Bottom