Kwa post kama hii nashindwa kuelewa YES na NO kwanini.... Ili hali kila kukicha ni kulalamikia Serikali ya Tanzania kwamba haitujali wanachi wake. Kila kitu Bei juu. Libya mambo ya msingi yote waliyapata free ambapo hakuna Serikali yoyote iliyo jaribu mpaka leo hii kufanya japo Robo ya ilivyo kuwa Libya...yakukuelewesha ni mengi mtu kama wewe SHAME ON YOU DUDE......Kwa upande wangu pamoja na yote kadaffi aliyoifanyia libya still nina both side to answer YES nd NO,yes ni kwamba aliwapa wananchi almost kila kitu in free na kuwasaidia wasio na uwezo nakufanya maisha yawe marahisi lakini NO kwakua aliwadumaza wananchi coz wananch walitegemea mengi nchi kawa nchi iwasaidie instead wenyewe watie jitihada kwenye kujituma wasisubir kila kitu ni free na ikajijenga hvyo kweny mind set zao kitu ambacho gaddafi alikosea,sahivi wananchi wanateseka koz mapinduzi yaliyofanyika yamebadirisha mifumo ya uendeshaji nchi na ndo maana wanateseka wataona kila kiongozi hafai,
Kwa upande wangu pamoja na yote kadaffi aliyoifanyia libya still nina both side to answer YES nd NO,yes ni kwamba aliwapa wananchi almost kila kitu in free na kuwasaidia wasio na uwezo nakufanya maisha yawe marahisi lakini NO kwakua aliwadumaza wananchi coz wananch walitegemea mengi nchi kawa nchi iwasaidie instead wenyewe watie jitihada kwenye kujituma wasisubir kila kitu ni free na ikajijenga hvyo kweny mind set zao kitu ambacho gaddafi alikosea,sahivi wananchi wanateseka koz mapinduzi yaliyofanyika yamebadirisha mifumo ya uendeshaji nchi na ndo maana wanateseka wataona kila kiongozi hafai,