Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 22
Rais Muamar Gadafi kachaguliwa kuwa mkuu wa Umoja wa afrika.Hivi kweli anafaa kuiongoza Afrika wakati nchi yake inamshinda?Kwani kuwa mkuu wa Umoja wa Afrika kunahitaji sifa gani?Au hakuna kigezo?Mimi sijui.
Huyo Kkiwete alifaa kuwa kiongozi?
Au kwa sababu ni gaddafi
Kigezo nikuwa Kiongozi wa Nchi ya Africa, na huwa wanapeana zamu, Anglo phone, Francophone, na wale waarabu kwa maana hiyo hata Mugabe anafaa kabisa....kama unakumbuka hata Idd Amin aliisha wakuwa kiongozi. Halikuwa dili sana kwa muungwana as usual hakufanya maajabu.
Pamoja na pesa yote hiyo, kuna tetesi Gadafi ........................., baada ya kuwa rafiki na Dr. Salmini, akatembea na mkewe Salma. Salmini kusikia, akamtwaga talaka rejea. Gadafi akaoa jumla, ikabidi jamaa atoe talaka tatu.
Kigezo nikuwa Kiongozi wa Nchi ya Africa, na huwa wanapeana zamu, .................
Huyo Kkiwete alifaa kuwa kiongozi?
Au kwa sababu ni gaddafi
Libya haijamshinda Gadafi. Libya imepata maendeleo makubwa kwa jitihada ya Gadafi. utajua haya kwa kusoma historia ya Libya au hata kwenda Libya. Suala la kutaka ofisi la ubalozi wa Israel zifungwe katika nchi za kiafrika, huo ni mtazamo wake na haufuti ukweli wa maendeleo katika nchi yake.
Suala la uwekezaji katika kilimo ndiyo dira ya Tanzania pia kupitia ''KILIMO KWANZA" na hata wakati wa Nyerere tulikuwa tunasema KILIMO NDIYO UTI WA MGONGO WA UCHUMI WETU na kama utakumbuka azimio la Iringa ''SIASA NI KILIMO. hivyo wazo la gadafi siyo jipya masikioni kwetu.
Asichopenda Gadafi ni kuburuzwa na wazungu lakini kwa upande wa uongozi naweza kusema ni mzalendo namba moja katika marais wa Afrika na anawapenda sana watu wake.
Gadafi ni mtu mmoja asiyeeleweka. unajua kuna tatizo moja, waislam wenye msimamo mkali kama gadafi, huwa na akili pungufu sana, wanafikiri kama wenye ubongo wa samaki hakika. Kuna siku mwaka jana alishasema at BIBLIA NI MANENO YA UONGO TU NI STORI TO, na kwamba, DINI PEKEE NI UISLAM NA WAKRISTO WOTE WANATAKIWA WASILIM.Bado nina mashaka na Gaddafi.
Eti amezitaka ofisi za ubalozi za Israel Afrika kufungwa.
Gadafi ni mtu mmoja asiyeeleweka. unajua kuna tatizo moja, waislam wenye msimamo mkali kama gadafi, huwa na akili pungufu sana, wanafikiri kama wenye ubongo wa samaki hakika. Kuna siku mwaka jana alishasema at BIBLIA NI MANENO YA UONGO TU NI STORI TO, na kwamba, DINI PEKEE NI UISLAM NA WAKRISTO WOTE WANATAKIWA WASILIM.
Leo tena anakuja anasema,AFRIKA WAFUTE BALOZI ZA ISRAEL. hivi anafikiri kila mtu hapa ni mwislam? au anafikiri hapa kila mtu anaupenda uislam? anafikiri kila mtu anapenda ushirika na waarabu? au tunaishi tu hapa kwa kuvumiliana kwasababu tu ndani ya nchi kuna dini nyingi na tunaishi kwa kuheshimu dini za wengine ili tuishi kwa amani?
anasahau kuwa, ukianza kuuliza swali mtu mmoja mmoja ukipitia makanisa yoote Tanzania, au east Africa yoote hata dunia, watakaosema wanaichukia Israel hawapo. hata ukiwauliza kuwa, je ni vyema Israel kulipiza kisasi kwa wapalestina, wote watasema ndiyo. ukiwauliza wakristo wote nchi ya israel ni ardhi ya nani watakwambia ni ardhi ya israel. hadi leo hii haiingii kichwani kwa mkristo yoyote kusikia kuwa Bethlehem mji aliozaliwa Yesu ni makao makuu ya palestina..hahaha. lakini tunanyamaza tu tunaishi kwa kuvumiliana. ila kila siku tunaiiombea israel izidi kupanua mipaka yake ifike hadi damascus ikiwezekana, kwasababu kulingana na Mungu alivyowapa ile ardhi, hadi Jordan yote ni yao, and even part of syria au syria yote kabisa.
Sasa, kama kuna siku kikwete atataka kuwajaribisha wakristo wa tz, aseme hakuna uhusiano kati ya israel na tz, hapo ndo ataona kuwa kumbe vile vita vya israel havipiganwi na waisrael peke yao.
sasa gadafi anapokuja na maneno yake kama hayo akirikiri labda sisi wengine ni ndugu zake, anakuwa kama mtoto mdogo.anajiona amefikia maendeleo makubwa sana kule libya ya kuweza kuwafundisha waafrika maisha.
Asichopenda Gadafi ni kuburuzwa na wazungu lakini kwa upande wa uongozi naweza kusema ni mzalendo namba moja katika marais wa Afrika na anawapenda sana watu wake.