Giddy Mangi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 830
- 184
Katoka Star Tv huyo tena ana tabia ya unafiki na majungu hana lolote na ni mtu wa kujipendekeza sana na anapoamua kujipendekeza huwa haoni aibu sasa walimuitia nini TBC 1 kama wanaogopa maneno si wangetafuta mtu wa Gamba ndio aje au?
Baadhi yetu tulidhani huyu ndiye angemrithi Tido. Gabriel ni "mtiifu" sana.Tangu wamwondoe Tido Mhando TBC1 imekaa kichama zaidi.