Gabriel Fuime: ashtakiwa Kesi ya Mauaji

Gabriel Fuime: ashtakiwa Kesi ya Mauaji

mmanento

Member
Joined
Dec 2, 2008
Posts
11
Reaction score
4
Nimekuta taarifa hii sehemu kuhusiana na Mkurungenzi wa zamani wa Manispaa ya Ilala jijini Dar- es- Salaam, Gabriel Fuime (61), kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashitaka manne ya mauaji ya watu wanne.

Ambapo Fuime alisomewa mashitaka mbele ya Hakimu Mkazi Augustina Mmbando, ikidaiwa na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Bernad Kongola , kuwa Machi 29, 2013 katika mtaa wa Indira Ghadh Dar –es- Salaam, mshtakiwa aliwaua kwa makusudi Gabriel Kamwela, Philipo Kusimala, Bethod Mwanengule na Zahda Kanji.

Kwa jinsi ninavyomfahamu X DED sielewi ilikuwaje ni ajali au nini?, Kama kuna mtu anafahamu 'details' za mauaji haya atujuze.
 
Kwa uzembe wake wa kiutendaji uliopelekea kuanguka kwa gorofa na kusababisha vifo kwa hao wahanga!
 
Nimeshtuka. badilisha Topic. inaonyesha GK ndiye aliuwawa.


Ndio maana serikali ilisimamisha ombi lake la kustaafu? Kumbe alikuwa anasubiri Kesi.

Ni mtu mwema na makini ktk kazi yake. Bila shaka ni uzembe wa wasaidizi wake kwenye dili.
 
Back
Top Bottom