Niliwahi kuandika kuhusu MAFURUKU"
Na Leo naandika Kuhusu SENGERETI
Najua jibu rahisi itakuwa ni makosa madogo madogo ya kiuandishi...
Sawa basi tupeni maana ya hili Neno SENGERETI maana ni Neno jipya katika lugha hii ya Kiswahili....
MCL nisaidieni mimi msomaji nahitaji Huduma yenye kiwango sio hii SENGERETI yenu...
Niliwahi kuandika kuhusu MAFURUKU"
Na Leo naandika Kuhusu SENGERETI
Najua jibu rahisi itakuwa ni makosa madogo madogo ya kiuandishi...
Sawa basi tupeni maana ya hili Neno SENGERETI maana ni Neno jipya katika lugha hii ya Kiswahili....
MCL nisaidieni mimi msomaji nahitaji Huduma yenye kiwango sio hii SENGERETI yenu...
Mkuu daladala likivuja lazima abiria tulalameMkuu vitu vingine ni Errors za kiundanishi tu...Chukulia simple, sio big deal sana mpaka ianzishiwe mjadala mkubwa!
sawa mkuuMkuu daladala likivuja lazima abiria tulalame
MCL wamekuwa na fyongo kila Mara katika magazeti yao japo makosa mengine hatuyaripoti...
Kwani mtanzania lina uchafu ganiTokea Mwanahabari Nguli kabisa Richard Mghamba aondoke hapo MCL pamoja na Wahariri na Waandishi wengine mahiri kabisa waliobaki sasa ni balaa. MWANANCHI la miaka 10 iliyopita siyo hili la leo na wasipoangalia na Wao hawako mbali kuanza kudharauliwa kama UHURU na Tanzania Daima. Gazeti la Mtanzania wakiacha au kupunguza kidogo uchafu wao watakuwa wazuri kuzidi MWANANCHI.
Kwani mtanzania lina uchafu gani
Usilalamike, ukiona daladala hilo linavuja mara kwa mara na ni msimu wa mvua shuka upande jingine ili safari iendelee...Mkuu daladala likivuja lazima abiria tulalame
MCL wamekuwa na fyongo kila Mara katika magazeti yao japo makosa mengine hatuyaripoti...
Tatizo kijijini kwetu hakuna mwendo kasi ngoja tuendelee kulitumia tuUsilalamike, ukiona daladala hilo linavuja mara kwa mara na ni msimu wa mvua shuka upande jingine ili safari iendelee...
Kama ni hivyo, endelea tu kulalamika, huenda mmiliki wa basi akasikia kilio chako na kuziba panapovuja...Tatizo kijijini kwetu hakuna mwendo kasi ngoja tuendelee kulitumia tu
Magari mengine ndio BALAA kuna viti ambavyo kila uchao abiria yuleyule hata kama abiria mwenyewe ni mtukutu anapanda na viwembe kuchana siti lakini wahusika wanamuita chief
hata kama hilo jina/eneo lipo inchi hii sina hakika kama VP alikuwepo huko unakodai siku chahe zilizopita mkuu, kwa hiyo unaweza kuona mleta uzi analalamikia nini ili uweze kumuelewa vizuri.Kwani hakuna sehemu inayoitwa Sengereti? Rudia darsa la geography
Tokea Mwanahabari Nguli kabisa Richard Mghamba aondoke hapo MCL pamoja na Wahariri na Waandishi wengine mahiri kabisa waliobaki sasa ni balaa. MWANANCHI la miaka 10 iliyopita siyo hili la leo na wasipoangalia na Wao hawako mbali kuanza kudharauliwa kama UHURU na Tanzania Daima. Gazeti la Mtanzania wakiacha au kupunguza kidogo uchafu wao watakuwa wazuri kuzidi MWANANCHI.
Duh kumbe ni wengi picha haendani na maelezo ya tukio husika?View attachment 521334
Umesema ukweli kabisa, I was among the readers lakini siku hizi naona viwango sivyo kabisaa!!
Hivi equivalent ya TBS kwenye magazeti ni nani
Kuna nyingine hiyo hapo juu