Fuzzy Logic Controllers - Introduction and Implementation

RedDevil

JF-Expert Member
Apr 30, 2009
2,367
1,519
WanaJF, heshima mbele! Kuna hii kitu naiadmire sana, ni kuhusu Fuzzy Logic Controller nimejaribu kuisoma muda lakini nakosa vitu kama reference za kutosha kwani nasoma mwenyewe. Kwa hiyo, kwa yeyote mwenye e-books, Video lecture, au notes hata information about Fuzzy how to implement kwenye design software kama Matlab, PSCAD nazinginezo nitashukuru kama utanirushia hapa jamvini au kuniPM nahitaji kutumia kwa ajili ya kudesign control system ya DC/DC Converter, DC/AC Inverter zinazotumika kwenye Smart Grid na Micro-Grid Systems.

Natanguliza shukrani wakuu! Pamoja tutasonga mbele.
 
hapa mkuu ndio siri ya uchawi wangu, kama ni mgeni mambo ya AI anza na lecture ya kwanza usiruke kitu maana ukiruka lecture moja jua madhara utayapata baadae YouTube - ‪nptelhrd's Channel‬‏
 
Hiyo channel bomba sana . Naweza kuona nyota nyota. teh teh teh maana wengine tulishahamia kwenye political computer science. Teh teh teh

Kuna website nyingine hii hapa Electrical Engineering | Video Courses on Academic Earth. Nadhani inaendana na hiyo I dont know.

Hapo kuna nondo za MIT na Standfrord . Unaweza kuzipata youtube pia

Wape link ya home pge na wasomi wengine maana jamaa wana coleetion ya vitu vingi Academic Earth | Online Courses | Academic Video Lectures
 
Ahsante sana mkuu! ngoja niendelee kukamua hapa, hope nitachawika muda si mrefu!!
 
Back
Top Bottom