donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
hahaha, made my day!duh watu wa zama za kale yalikuwa ni mapande ya watu sana kiasi kwamba toothpick kwao ilikuwa ni kama nguzo ya umeme ya sasa. kama ni kichwa cha goliati bado naona ni kidogo sana
Ni huko Israeli
Ni heri kupotezwa huku kwani mwisho wa siku kuna uzima wa milele kuliko kupotezwa huko kwingine mwisho wa siku motoni
waongo hao wanataka kuvuta watalii tu.wamejuaje kma ni goliath na c mtu mwingine?
Photoshop kalagabaho
Watakua wameona ngeu aliyopigwa jiwe na Daudi!!!
kwan wewe nani aliekwambia kwamba kichwa na kiwilwili vilizikwa tofauti?...
waongo hao wanataka kuvuta watalii tu.wamejuaje kma ni goliath na c mtu mwingine?
Hizi ni siku za mwisho tutaona mengi, hivyo tuwe makini tusiamini vya kuambiwa mpaka tuone wenyewe
Na ili uone lazima ukafanye utalii huko kwao na ndio wanachotaka
kwan wewe nani aliekwambia kwamba kichwa na kiwilwili vilizikwa tofauti?...
Unataka kusema ni Goliati tu aliewai kuuwawa kwa Kombeo.?angalia lile jiwe la kombeo lilinonasa kwenye paji la uso, unataka ushahidi gani tena zaidi ya huo