Fuso lavunja choo mtaani kipunguni relini

Abbasfarudume

JF-Expert Member
Feb 14, 2017
1,625
1,324
Ni Fuso la kubeba Mchanga limepita kwenye njia nyembamba sana ya kupita magari madogo bajaj pikipiki na baiskeli lilikuwa linaenda kumwaga mchanga sehemu, bahati nzuri maliwatoni kulikuwa hamna mtu angekuwepo mtu sijui ingekuwaje
79a2f9be1c4ae1741ccb36e074a1a885.jpg
Hapo tyre za upande wa kushoto za nyuma ya fuso zikiwa zimevunja choo na kutaka kutumbukia ndani ya shimo la choo
d009cecdcf86981d4141ae5f4f2257e5.jpg
16ddf258c9cc9135b8f6934515aa70c3.jpg
8980e0b1cac210784eee8e703a215bb2.jpg
d316b781b6d90677f99df64ef0b893a8.jpg
Mkarandinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watumiaji wa jf jifunzeni kushukuru hata kwa kutoa like.
Ktk wasomaji 300 hamna hata mmoja aliye jishoboa kutoa like kwa jamaa aliye tuletea habari kwa haraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Fuso la kubeba Mchanga limepita kwenye njia nyembamba sana ya kupita magari madogo bajaj pikipiki na baiskeli lilikuwa linaenda kumwaga mchanga sehemu, bahati nzuri maliwatoni kulikuwa hamna mtu angekuwepo mtu sijui ingekuwaje
79a2f9be1c4ae1741ccb36e074a1a885.jpg
Hapo tyre za upande wa kushoto za nyuma ya fuso zikiwa zimevunja choo na kutaka kutumbukia ndani ya shimo la choo
d009cecdcf86981d4141ae5f4f2257e5.jpg
16ddf258c9cc9135b8f6934515aa70c3.jpg
8980e0b1cac210784eee8e703a215bb2.jpg
d316b781b6d90677f99df64ef0b893a8.jpg
Mkarandinga

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kaiba trip namuonea imani sana huyo dereva

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kama vile choo ndio kipo eneo la barabara au mtaa haujapangwa vizuri...
 
Je hiyo barabra inaruhusu kupitisha huo uzito?
JE hicho choo kiko sehemu sahihi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom