brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Fus -rabat hawa ni waarabu wa morocco ni hatari sana kwa kugawa dozi.
Hatua ya 32 bora
Fus rabat 7 Sc villa(uganda) 0 goli zote zilifungwa nchini morroco
Hatua ya 16
Fus rabat 4 stade melein(mali) 0 zote zimefungwa nchini morroco
Hawa jamaa hawana huruma Yanga mjipange hasa.
Mungu awaepushe nao hatua ya makundi.