1. Wewe ni mkazi wa Arusha, Singida au Manyara ?
2. Una elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea ?
3. Unahitaji kutengeneza ama kuongeza kipato chako kwa kutumia fursa zilizopo katika wilaya yako ?
Kama jibu ni ndio, basi hii ni habari njema sana kwako. Kampuni ya FUNDRAISING SOLUTION & General Enterprises inahitaji vijana kutoka katika mikoa tajwa hapo juu kwa ajili ya kushirikiana nao katika mradi wetu unao husisha fursa zilizopo katika mikoa tajwa hapo juu.