Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 578
- Thread starter
- #121
Bado wekezaji upo?
Uwekezaji upo, ninakuomba pitia posti namba 115.
Bado wekezaji upo?
Mi na 100000 /=
utapigwa na makachaaa wa mjiniduh cjui nijitose
bimkubwa uwe unatupa update mambo yanavyokwenda.
duh cjui nijitose
Hiyo phase two ni kwamba mwisho wa siku aliyeweka 5M atapata 7.5M? Na jee baada ya hapo ndio basi?
Asante,nitakuja.Mradi wetu wa awali unaenda vizuri sana, tunashukuru.
Tulikamilisha kupata wawekezaji tuliotarajia na sasa wanarudisha pesa zao.
Unakaribishwa kujionea mwenyewe shughuli zetu.
Hivi karibuni tunaanza phase mpya ya uewekezaji mweingine, nimeuelezea kwenye posti namba 115, tafadhali ipitie.
Kaaribu sana.
Wasi wasi wangu hapa je? sio riba hii.
Tunawaomba wote mnaopitia huu uzi mjisomee posti namba 115 kwa phase mpya ya uwekezaji.
Ndugu yangu bado unaendelea tu kutuita matapeli? Tumekutapeli nini?
Sisi tumeweka ID zetu wazi, namba zetu za siu wazi, anuani ya kwetu ipo wazi, kuna wana JF wengi sana wameshafika kwangu na wananijua, kama unasema kweli tunaomba jiweke na wewe wazi utueleze tumekutapeli nini?
Pia tungependa sana tuwasiliane na wewe ili tuyatatue haya ya kutuita matapeli kisheria.
Dah, kivipi mkuu! hebu fafanua isikute unaharibu biashara za watu bila kuwa na sababu za msingi.Ukisoma Post Hii Kimbiaa Kwa speed ya Kilometer 180 kwa Saa ..wala usithubutu kusoma Tena ..wanatumiaga Mpaka dawa hawa Kwnye maandishi... unaweza jikuta umedumbukia
Leo nawaletea fursa ya kuwekeza salama kabisa.
Kama una fedha zimekaa bure au unaziweka benki basi hii ni fursa ya kujiongezea kipato bila jasho, kwani kazi zote za kuwekeza tutazifanya sisi, wewe unawekeza fedha zako na zinakuzalia.
Tunakuhakikishia pesa utazowekeza zitakuzalia 100% kwa mwaka na au zaidi.
Pesa za mwanzo kuanzia ni TZS 500,000/=
Hatutachukuwa wawekezaji zaidi ya 20 kwa miezi sita ya mwanzo.
Pesa utazowekeza tunaziingiza katika biashara za halali kabisa ambazo zipo tayari zinafanyika.
Ukianza na kuwekeza shillingi 500,000/- tunakuhakikishia malipo ya shillingi 20,000 kila wiki kwa wiki 52
Plan A:
Ukiweka 500,000 utalipwa baada ya siku 30 au chini ya hapo za mwanzo, Shillingi 20,000 kila wiki X wiki 52 = 1,040,000
*Service charge yetu ni shillingi 40,000 kwa hiyo unabaki na 1,000,000 kamili.
Kwa plans zingine unaweza kuwasiliana na Babu Abdul 0625249605
Tunapenda ifahamike kuwa hii si desi wala "pyramid scheme", huu ni uwekezaji halali, sisi tunawekeza katika kazi halali zilizopo hapa kijijini kwetu Misugusugu, Kibaha. Kama vile machimbo ya mchanga, bodaboda, maduka ya hardware, mini market, maduka ya vyakula, uuzaji wa kokoto, uuzaji wa mbao.
Ukipenda unaweza kututembelea wakati wowote, miradi yote tunasimamia wenyewe na vijana tuliowaajiri.
Kama una maswali yoyote tafadhali uliza na Babu Abdul (Mume wangu) atayajibu.
Mradi huu kwa kuwa msimamizi mkuu ni mume wangu, Babu Abdul, maswali yote na mawasiliano yatakuwa yanapitia kwake.
Asanteni.
Tunawaomba wote mnaopitia huu uzi mjisomee posti namba 115 kwa phase mpya ya uwekezaji.
Ningeshauri post 115 ipandishwe kwenye post ya mwanzo kabisa Kama updates Ili kila anaeingia kusoma apate fursa ya kuelewa mchakato mzima unavyoenda na Maendeleo yake. Shukrani