Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 3,025
- 8,368
Htr snSafi watafute soko Nchi zilizo na usalama pia huko vitani na biashara Mara sijui uchaguzi haueleweki unaweza ukakimbia mzigo wako ili kuokoa nafsi yako...
Rekebisha hapo kwenyeWadau, chekini taarifa ya fursa hiyo hapo chini kutoka TCCIA;
Ndugu Viongozi wa TCCIA,
Tunapenda kuwajulisha kuwa tumepokea barua kutoka Wizara ya Viwanda,Biashara na uwekezaji kwamba Ofisi ya RAS-Songwe kwa kushirikiana na TCCIA walifanyia kazi fursa ya kuuza mazao ya chakula huko DRC kwa upendeleo maalum na kufanikiwa.
Kufikia makubaliano na Uongozi wa Jimbo la Haut-Katanga umetoa Kibali cha miezi minne(4) kuanzia tarehe 1 Desemba,2018 hadi Machi31,2019 kwa wafanyabiashara wa Tanzania kuuza chakula katika jimbo hilo kwa kiwango chochote walichonacho pasipo kulipa ushuru.
Makubaliano hayo yameeleza kuwa,baada ya kipindi hicho hawataruhusiwa kuuza kwa utaratibu wa kawaida ikiwa ni pamoja na kulipa ushuru.
Hivyo kwa makubaliano hayo,Tani moja(1) ya mahindi itauzwa kwa USD350,Unga wa Mahindi USD 400,Maharage na Mchele USD1,120.Bei hizi ni pamoja na gharama za uchukuzi.
Hivyo wafanyabiashara wote mnashauriwa kutumia fursa hii.
Asanteni sana kwa ushirikiano.
For more enquiries
hq@tccia.com
TCCIA
Hapan mkuuRekebisha hapo kwenye
Tani 1 ni USD 350
Nadhani ni
Kilogram 1 ni USD 350
Safi watafute soko Nchi zilizo na usalama pia huko vitani na biashara Mara sijui uchaguzi haueleweki unaweza ukakimbia mzigo wako ili kuokoa nafsi yako...
Safi watafute soko Nchi zilizo na usalama pia huko vitani na biashara Mara sijui uchaguzi haueleweki unaweza ukakimbia mzigo wako ili kuokoa nafsi yako...
Nahisi sasa wameanza kumwelewa Jiwe. Magu anataka mambo kama hayaSafi sana Wizara.
Haya ndiyo mambo mnatakiwa muwe mnahangaika nayo.
Sio kukaa maofisini na kufuga vitambi tu.
Big up sana kwenu kwa kweli.
Naona mmeanza kupambana sasa.
Ahsante mkuu kwa explanation mkuu, i hope mitindo huru atakua ameelewaHapan mkuu
Yuko sahihi kabisa.
USD 350 ni zaidi ya laki 7 na nusu za kibongo.
Kwa maana hiyo kilo moja ya mahindi ni kama 750 au zaidi.
Huko kwenye vita, ndo biashara ya chakula inalipa zaidi mkuu Isanga familySafi watafute soko Nchi zilizo na usalama pia huko vitani na biashara Mara sijui uchaguzi haueleweki unaweza ukakimbia mzigo wako ili kuokoa nafsi yako...
Kweli kabisa mkuu Bilionea AsigwaSafi sana Wizara.
Haya ndiyo mambo mnatakiwa muwe mnahangaika nayo.
Sio kukaa maofisini na kufuga vitambi tu.
Big up sana kwenu kwa kweli.
Naona mmeanza kupambana sasa.
Kg moja zaidi ya Tshs 700,000?? Umekosea mkuu, mitindo huruRekebisha hapo kwenye
Tani 1 ni USD 350
Nadhani ni
Kilogram 1 ni USD 350
YapNahisi sasa wameanza kumwelewa Jiwe. Magu anataka mambo kama haya
Wazo mgando, usifkilie kufa kwenye utaftaji....wote tungekua na akili ka yako migodi yote isingekua na watumishiSafi watafute soko Nchi zilizo na usalama pia huko vitani na biashara Mara sijui uchaguzi haueleweki unaweza ukakimbia mzigo wako ili kuokoa nafsi yako...
Mkuu kuna jamaa etu mmoja alienda Sudan kusin na pick up alitoka nalo SA kaenda kariakoo kanunua nguo na vitu vingine vya kumwaga alivuta tela pia tripu ya kwanza aliuza ya pili alitoka SA kawashawishi na wengine wawili waliyaacha magari na mizigo huko walirudi na kandambili sema jamaa ni mpambanaji alikuja kufanikiwa kwa kufanya biashara Zambia...Wacongo waje wanunue wao tuwauzie kwenda kwao mgeni ni wajanja wajanja sana na matapeli..Huko kwenye vita, ndo biashara ya chakula inalipa zaidi mkuu Isanga family
Mkuu lazima ufikiri swala la risk pia kama kutafuta kunakufanya uhatarishe maisha yako kwa sababu ya fedha basi utakua mjinga sana,mgodi mbona ipo salama tuuWazo mgando, usifkilie kufa kwenye utaftaji....wote tungekua na akili ka yako migodi yote isingekua na watumishi
Elimu elimu elimu,ulikimbia shule bila shaka.Rekebisha hapo kwenye
Tani 1 ni USD 350
Nadhani ni
Kilogram 1 ni USD 350