Fursa ya kujiajiri

richenriques

Senior Member
Joined
Jun 6, 2015
Posts
188
Reaction score
33
Hellows.. Natafta vijana watano makini, wanaoijiamin, wenye uwezo wa kujieleza na walio tayar kufanya kazi kwa bidii.. kutoka mikoa tofaut na dar es salaam.. Mtaji unaotakiwa ni kias sio chini ya 100,000/=....biashara nayofanya ni ya bidhaa za urembo kutoka sweden kampuni iitwayo oriflame ambayo wengi wa wenyeji wa dar es salaam wanaifaham.... Anaehitaji maelezo zaid ani PM
 
Kweli kwenye ile thread nyingine umesema 500,000/= hapa unataka 100,000/= !!! Jitambulishe zaidi.
 
Actually iko hivi.... Ili kuweza kununua bidhaa zetu kwa bei ya jumla lazima uwe mwanachama... Na kuwa mwanachama inagharimu 9000/= kwa waliopo dar na 16000 kwa wamikoani ikiwa 7000 ni ya kutumiwa starter kit yako...... Ila ukinunua bidhaa zenye thamani kuanzia 95000/= kwa bei ya uanachama unatumiwa bure hulipii hyo 7000/=.........lakin mim nahitaj watu wenye uwezo wa kununua bidhaa zaidi ya hzo za 95000/= kwa walio mikoani ndyo maana nkahitaj mtu mwenye uwezo wa kuwa na mtaji wa 500,000/=...nimeweka 100,000 kwenye uzi huu na 120,000 kwenye uzi mwngne baada ya kupata maoni kwamba itakua sio rahisi kupata watu wenye mtaji wa 500,000/=.. Lakin lengo langu ni lilelile kufanya kaz na watu wenye mtaji unajitsheleza kucover hata emergency costs pale zinapotokea..... Na ndyo maana nkasema mwenye kuhitaj maelezo zaid ani PM......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…