kama hawawezi kusoma vitabu bora waache tu waendelee na ishu nyingine....forex bila kusoma vitabu hutaiwezaWadau Kwema??
Hakuna shaka kua Forex ni Fursa nzuri kwa wengi wetu humu tuliobahatika kujihusisha nayo, wengi wamevutiwa na wengi pia wameanza kujihusisha na kufaidika nayo. Hakuna shaka pia member huyu kwa jina la ONTARIO ni kati ya Jf members wachache walioitangaza fursa hii kwa kiwango kikubwa sana, pamoja na Davion Delmonte Jr. .
Sasa mimi nina wazo moja kwa huyu member, kwa kua tayari una ofisi basi ungeweza kufanya kitu kifuatacho. Kuwe na session kila siku ambapo watu huja pale ofisini kwako na Laptop zao ku-trade kwa muongozo wako hata kwa kiingilio fulani. Watu wengine ni wagumu kuelewa ukiwaambia wakasome lakini wakija pale kwako ukawaambia buy $, sell GBP, buy Yen, sell Euro, etc kisha mpaka jioni wanaangalia wamepata kiasi gani, kisha wanakuachia chako itakua poa sana.
Maana kuna watu wengi nimejaribu kuwagusia hii fursa inakua kama ngumu kwao, lakini wanataka wapate mtu wa kuwaelekeza kuuza na kununua tu mpaka pale watakapoelewa wenyewe soko linaendaje. Watu hawa wanakosekana katika darasa la ONTARIO sababu washajiwekea kua Forex Business ni ngumu kwao, ingawa mitaji na vitendea kazi wanavyo.
Kiingilio (Fees) kinaweza kikawa ni Fixed regardless ya mtaji wa Member/Participant au yaweza kua %ge fulani ya faida atakayopata, ingawa hapa panaweza kua pagumu sababu itahitajika kujua Member/Participant alianza na mtaji kiasi gani asubuhi na Kumaliza na Kiasi gani then faida. Pia fees hii yaweza kua kwa wiki au mwezi.
Hii nayoishauri au kuipendekeza hapa haihusiani kabisa na lile darasa analofundishaga, bali hii ni kwa ajili ya ku-trade tu.
Nawasilisha
Good idea but hii ingefanywa kwa wale ambao wameshahudhuria mafunzo pale kwa sababu taarifa zao zipo ofisini na wanatambulika na ofisi kama hujahudhuria mafunzo usiruhusiwe halafu isiwe kila siku kwa sababu italemaza watu na hata hivyo itakuwa ni nzuri kama wadau wote ambao wanaokuwepo wanafanya analysis kwa pamoja na sio kutajiwa tu wewe ufanye sell or buy all in all ni idea nzuri.Wadau Kwema??
Hakuna shaka kua Forex ni Fursa nzuri kwa wengi wetu humu tuliobahatika kujihusisha nayo, wengi wamevutiwa na wengi pia wameanza kujihusisha na kufaidika nayo. Hakuna shaka pia member huyu kwa jina la ONTARIO ni kati ya Jf members wachache walioitangaza fursa hii kwa kiwango kikubwa sana, pamoja na Davion Delmonte Jr. .
Sasa mimi nina wazo moja kwa huyu member, kwa kua tayari una ofisi basi ungeweza kufanya kitu kifuatacho. Kuwe na session kila siku ambapo watu huja pale ofisini kwako na Laptop zao ku-trade kwa muongozo wako hata kwa kiingilio fulani. Watu wengine ni wagumu kuelewa ukiwaambia wakasome lakini wakija pale kwako ukawaambia buy $, sell GBP, buy Yen, sell Euro, etc kisha mpaka jioni wanaangalia wamepata kiasi gani, kisha wanakuachia chako itakua poa sana.
Maana kuna watu wengi nimejaribu kuwagusia hii fursa inakua kama ngumu kwao, lakini wanataka wapate mtu wa kuwaelekeza kuuza na kununua tu mpaka pale watakapoelewa wenyewe soko linaendaje. Watu hawa wanakosekana katika darasa la ONTARIO sababu washajiwekea kua Forex Business ni ngumu kwao, ingawa mitaji na vitendea kazi wanavyo.
Kiingilio (Fees) kinaweza kikawa ni Fixed regardless ya mtaji wa Member/Participant au yaweza kua %ge fulani ya faida atakayopata, ingawa hapa panaweza kua pagumu sababu itahitajika kujua Member/Participant alianza na mtaji kiasi gani asubuhi na Kumaliza na Kiasi gani then faida. Pia fees hii yaweza kua kwa wiki au mwezi.
Hii nayoishauri au kuipendekeza hapa haihusiani kabisa na lile darasa analofundishaga, bali hii ni kwa ajili ya ku-trade tu.
Nawasilisha
Hii itakua imewasaidia sana maana kuna jamaa wako humu wana mpaka CPA (refer tol jf) lakini anakwambia forex ni gambling na mtu huyu huyu ameisoma chuoni lakini hajui forex ni kitu gan!!!● College learning syllabus
Hii ni ngumu, lkn hakuna kitu ambacho niliwahi kujaribu nikaishia kati.
Nutajaribu at all cost, kupush hii kitu kiasi kwamba wanafunzi wote wanaosoma college masomo ya business kuanzia ngazi ya college, wapewe specific technical knowledge kuhusu fursa zilizopo kwenye global financial markets (forex, indices, commodities, metals, stocks etc). Pia kuwepo na practical part of it. Ni ngumu but bet on me, we will be there soon than you'd ever dream. When something is broken there's always 1 guy who will be willing to fix it.
Nothing is impossible to a willing heart, it's a matter of patience and grinding hard and smart
Najua umeandika BET kwa bahati mbaya maana ulipaswa kuandika trade on me!Majibu ya Ontario
Ni ngumu but BET on me, we will be there soon than you'd ever dream. When something is broken there's always 1 guy who will be willing to fix it
Hiki kipande kimenishawishi kuandika kidooogo! Yaani trader ana trade na kupata profit bado una doubt kuwa hawezi kuwa na fedha za ku-expand trade zake?● supporting other forex institutions
Kama mtu ni consistent profitable trader, kaamua kuanzisha programme ya kushare knowledge ya forex, mimi nipo tayari kutoa pesa yangu mfukoni kumsupport. Kama mtu akiweza kunipa proof ya trading history yake, na nikaona uhalisia wa trades zake, then nipo willing kumsupport kwa chochote kile.
Nothing is impossible to a willing heart, it's a matter of patience and grinding hard and smart
It is also true that no one embrace death until he or she is dead.. Mzee mandela aliwahi kusema It always seems impossible until it's done
Ahsante MkuuWazo zuli
kama hawawezi kusoma vitabu bora waache tu waendelee na ishu nyingine....forex bila kusoma vitabu hutaiweza
ushauri mzuri ila kutafuniwa so kuzuri wasome alafu waondoe ule mchcheto iyo kuwapa signal sawa ni nzuri ila ni lawama mwingine anaweza akawa na shida zake sa akaweka lot saiz 0.25 kwa a/c ya 100$ ikafutika ndan ya dk moja Ontario atamrdishia?? au ndo atasema utapeli Ontario kanitapeli?? Forex IPO na kila MTU atatrade
[HASHTAG]#THE[/HASHTAG] BLUE FOREVER
Ahsanteni Wakuu,duh yaani watafuniwe tena na kutemewa midomoni?
mi naona kama mtu ni slow learner bora asijishughulishe na hii kitu maana mwisho wa siku atamuona ONTARIO mchawi
Ahsante Mkuu wangu,Majibu ya Ontario
Boss nashukuru sana kwa huu ushauri, very short and sweet, very constructive in deed.
Kuna vitu vingi sana ambavyo vipo ndani ya mipango yetu, ndio kwanza tumeanza, nahisi hii ni wiki ya 3. Tuna miaka mingi sana ya kuendelea kukua positively.
● Soon tutafungua trading lounge
Hapa kutakua na huduma zote trader anahutaji, lounge yote itazungukwa na screens za news, charts, analysis, updates nk. Kutakua na mentors na pia tutajitahidi kila ijumaa ya kwanza ya mwezi kumleta trader makini kutoka sehemu yoyote dunuani ili tutrade nae NFP. Kutakua na kiingilio kidogo cha watu kuchangia AC, coffee, internet, service charge na umeme. It's gonna be very interesting, One of it's own kind in Africa.
● Region tours
Kwa sasa tuna office Dar pekee yake, kitu kinachotuumiza ni kua tuki_stick hapa pekee yake ina maana hii knowledge itakua locked mkoa mmoja, sasa tumefikiria kabla hatujafungua office mikoa mingine, tuwe tunafanya tour mkoa kwa mkoa. Hakuna jiwe litaachwa halijageuzwa, tutazunguka mikoa yote.
Kwa sasa tunafikiria kuanza na Mwanza week ijayo, Kisha Arusha, Mbeya na Dodoma.
● Account Management
Bado hatujaanza, lkn tunaandaa infrastructure kwa ajili ya kumanage accounts za watu wengine. Kuna watu, taasisi, makampuni nk ambao wana capital kubwa, lkn hawana trading skills and knowledge, wala hawahitaji kujifunza. So tutaingia mkataba wa kutrade pesa zao, kwa makubaliano ya kushare profits kila mwisho wa mwezi.
●Swahili Version
Tupo kwenye mchakato wa kuwaandaa walimu ambao baadae watatoa mafunzo kwa lugha mama ya kiswahili. Binafsi naandaa kitabu kuhusu forex ambacho kitakua kwa lugha ya kiswahili. Na from the bottom of my heart, I will provide it for 100% free, sitajali nitatumia gharama kiasi gani kukipublish, lkn nitahakikisha watu wanakipata bila kulipia chochote.
Kuna kitu kikubwa nakipanga... kwasasa lazima nikiri kuwa nipo busy sana, lkn nikitulia nitaanza mchakato. Nafikiria kuongea na developers wa meta trader 4 na meta trader 5 waweze kuweka option ya kucustomize platform iwe na lugha ya kiswahili.
● College learning syllabus
Hii ni ngumu, lkn hakuna kitu ambacho niliwahi kujaribu nikaishia kati.
Nutajaribu at all cost, kupush hii kitu kiasi kwamba wanafunzi wote wanaosoma college masomo ya business kuanzia ngazi ya college, wapewe specific technical knowledge kuhusu fursa zilizopo kwenye global financial markets (forex, indices, commodities, metals, stocks etc). Pia kuwepo na practical part of it. Ni ngumu but bet on me, we will be there soon than you'd ever dream. When something is broken there's always 1 guy who will be willing to fix it.
● supporting other forex institutions
Mimi kuna wanafunzi wangu, hua wanakuja ofisini wananiambia Jeff, kuna majamaa wengine wanafanya mnachokifanya, wanafundisha watu forex hadi kwa laki 5... Hua nawauliza, kwani kuna ubaya gani?? Why not??
Kama mtu ni consistent profitable trader, kaamua kuanzisha programme ya kushare knowledge ya forex, mimi nipo tayari kutoa pesa yangu mfukoni kumsupport Ili watanzania wengi zaidi waipate hii elimu. Kama mtu akiweza kunipa proof ya trading history yake, na nikaona uhalisia wa trades zake, then nipo willing kumsupport kwa chochote kile.
Nothing is impossible to a willing heart, it's a matter of patience and grinding hard and smart. Mzee mandela aliwahi kusema It always seems impossible until it's done
Vipi??HAMJATOSHEKA KUWACHAKACHUA WATU MPAKA MTAFUTE MBINU NYINGNE? KUWENI NA HURUMA.