Fursa ya biashara

Fursa ya biashara

Dodo18

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2011
Posts
315
Reaction score
93
Habari za saa hizi wana Jamii. Nina eneo langu nakodisha kwa ajili ya biashara ya Samaki awe wakukaanga au wa wabichi lakini kutokana na uzoefu nilikuona nao wakukaanga ndio wanatoka zaidi kutokana na pembeni yake kuna biashara ya mihogo ya kukaanga. Nina vifaa vyote vyote vya utendaji wa kazi ya samaki ikitokea kwa mtu anaehitaji. Hapo ni wew na mtaji wako wa samaki unaanza kazi maana kila kitu kipo tukishakubaliana. Samaki wanatoka sana kutokana na hamna sehem. Yingine ya karibu wanayouza samaki. Eneo lipo sinza mori. Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kupitia number ifutayo 0712 220207 au 0767 173 885
IMG_20190709_125709.jpeg
 
Nafikiria kuanzisha biashara ya utumbo wa kuku,miguu na vichwa vya kuku vya kukaanga,hii kitu yaweza nifaa.
 
Back
Top Bottom