Multpurpose
Senior Member
- Mar 23, 2018
- 123
- 78
kama vile sijakuelewa kabisa
sijaelewa utatangaza vipi kwa kubandika matangazo kwenye kuta za watu au vipiKabisa? Hujaelewa title ama ujumbe?
sijaelewa utatangaza vipi kwa kubandika matangazo kwenye kuta za watu au vipi
Nina stationary yangu kivule so nitawaPromote kupitia hapo since vitu nilotaja hapo juu vinahusiana sana na biashara yangu.Tittle imenivutia kusoma content lakini content sijaielewa kabisa. Unatangaza unatangaza vipi? Kiaje yani kwa mtandao kupita na spika mtaani, kubandika posters mtaani how how how?
Mimi nauza vitu vya electronics mkuu. Naomba nitangazie huko nitakulipa vizuri tu
Kwa maelezo zaidi nipigie simuView attachment 921243
Tunakuhitaji compuni yetuHabari. Kama title inavosomeka hapo juu.
Ningependa kuwapa fursa wajasiriamali/wafanyabiashara wanaojihusisha na
°Kupika Keki
°wanaouza/kutengeneza kadi za harusi nk. na
°wapambaji wa ukumbi wa sherehe /event planners.
Kuungana na Mimi nikiwa kama wakala wao kwaajili ya matangazo ya biashara zao.
Nimepata hilo wazo baada ya kuona uhitaji upo lakini kuna uhaba wa huduma hizo nilizotaja hapo juu.
Nipo kivule, matangazo nitafanya kupitia stationary yangu.
NB: nahitaji watu ambao watakuwa serious na kazi zao. Watakaopatikana kwa urahisi pindi kazi/order ikitokea.
kwa maelezo zaidi niPM.