alini alberto
Member
- Jun 6, 2015
- 69
- 28
Nchi gani inayoruhusu export ya bidhaa kirahisi, hii niliopo au umepost toka Kenya mkuuYap ndio bei yake fresh lkn for export
Ila katika nchi yeyote export inasaidia kuleta maendeleo ya kiuchumi sasa nashangaa hapa tuko nyuma sana aise mpaka inasikitisg=ha maana kuna masoko mengi sana huko kwa wenzetu lakini hapa kwetu wakulima hawapewi support yani.Nchi gani inayoruhusu export ya bidhaa kirahisi, hii niliopo au umepost toka Kenya mkuu
parachichi inapelekwa wapi Ndugu unaweza kutujuza hapa jamvini aise.Nitafute inbox nikupe maelezo vzur
Tanzania tunafny export toka muda mbona hasa zao la Parachch lkn only for certified products not otherwise
Nichek inbox
Kuna ukiritimba na urasimu wa hali ya juu, hamna kitu uta export bila usumbufu na hata hivyo ambavyo havina bugudha unahitaji vibali vya kutosha waweza ambiwa minimum uwe na mtaji wa million si chini ya 200 utaweza kweli! Hatuwezi endelea, imports zimezidi export matunda yanaozea shambani hapo Tanga kungekuwa na viwanda vya kusindika yakatumwa nje ya nchi ingekuwa baab kubwa!Ila katika nchi yeyote export inasaidia kuleta maendeleo ya kiuchumi sasa nashangaa hapa tuko nyuma sana aise mpaka inasikitisg=ha maana kuna masoko mengi sana huko kwa wenzetu lakini hapa kwetu wakulima hawapewi support yani.
Duuuu tuna safari ndefu sana maana tunaenda tofauti kabisa nchi ikitaka kupiga hatua kiuchumi lazima kuongeza export zaidi ya import lakini huku kwetu mambo ni kinyumenyume mpaka yanakatisha tamaa alafu utakuta wanataka kodi za ajabu ajabu sijui tuna matatizo gani aise.Kuna ukiritimba na urasimu wa hali ya juu, hamna kitu uta export bila usumbufu na hata hivyo ambavyo havina bugudha unahitaji vibali vya kutosha waweza ambiwa minimum uwe na mtaji wa million si chini ya 200 utaweza kweli! Hatuwezi endelea, imports zimezidi export matunda yanaozea shambani hapo Tanga kungekuwa na viwanda vya kusindika yakatumwa nje ya nchi ingekuwa baab kubwa!
safi sana ndugu.Hahahahahaha ok Parachch (Hass var) inapelekwa France iyo ni export Ya moja Kwa moj kutoka Tanzania
Ila pia wakenya wanakujaga kununua pia wanakwenda fungashia kwao then wanaexport ila sijafatilia wanapeleka wapi
Lakini Good news ni kwamba kinajengwa Kiwanda cha kukamua mafuta Ya Parachichi hapa Tanzania kikubwa haijawah tokea na soon kitakamilika hivyo Hakuna shida Ya soko kabisa wanunuzi watakuwa tele
Swafiiii walahiFatilia taarifa Ya habari ITV Ya tar 9Nov dakika Ya 39 au nifate inbocView attachment 931805