MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,247
- Thread starter
-
- #41
Hv we sister unajielewa kweli?una uhakika radio Manyara iko hewani au na wewe upo kwenye list ya Konki master, Tatizo unajifanya unajua sana, Na ukithibitisha kwamba wako hewan, nta kuwekea barua ya tcra ya kuwasimamishia matangazoNimekutolea mfano na nimekutajia pia kuna Radio Manyara 92.1 na wewe ulivyo muongo unasema eti imefungiwa...labda wewe ndo umeifungia
Napokwambia umekurupuka namaanisha unatoa mrejesho wa ulichokiona sio uhalisia...mimi nimekupa uhalisia wa mji wa Babati
Rudi ukafanye utafiti uje utoe mrejesho wa kiuhalisia sio wa ulichokiona wewe kwako kinafaa kukieka kwenye uzi
Dingoo acha ushambaHv we sister unajielewa kweli?una uhakika radio Manyara iko hewani au na wewe upo kwenye list ya Konki master, Tatizo unajifanya unajua sana, Na ukithibitisha kwamba wako hewan, nta kuwekea barua ya tcra ya kuwasimamishia matangazo
Ndio maana mwanzo ilikuwaga Ngunguu, baada ya matatizo wamehamia Mrara juu, lakini pia bado hawajaanza kurusha matangazo, Ngoja nikuache na kingereza chako cha ugoko, mwisho ntapigwa Burn bure
Sio kweli, Manyara nguo za mitumba ni shida sana hazipatikani hasa za mabinti/wanawake ni adimu mpaka mtu asubirie siku ya mnada. Namuunga mkono mtoa mada kila ulilolitaja ni fursa kwa Mkoa wa Manyara.Manyara haina population kubwa mpaka kuwe na uwepo wa vitu hivyo....Lakini kwa uwezo wake kuna vitu vya kitofauti zaidi ambavyo kama hujavielewa utakuja kuumia ukienda na biashara yako.
Radio Manyara ipo BABATI....Radio Habari Njema ipo MBULU
Daladala zipo za kwenda sehemu nyingi tu kama Bonga,Dareda,Riroda,Galapo,Magugu na sehemu nyingi tu...hauezi leta daladala itakayobeba watu kutoka stand mpk gendi au nangara au mkoani ndo maana biashara ya bajaji na boda boda imeshamiri sana mkoa huu...ungeniambia uongeze idadi ya bajaji ningekuelewa
Huezi eka show room ya magari babati...mji hauna watu wenye uwezo wa kununua magari kiivo, watu wengi ni wa kipato cha kati na chini...
Nguo za mitumba hazitoki kwa kuwa watu wa Manyara wana tamaduni ya kwenda minadani kuanzia tarehe 16 Galapo na kuisha tarehe 26 Babati hapo unazunguka sehemu mbali mbali kama Riroda, Bonga, Kiru, Magugu, Dareda Center na Mission, Endasaki, Endanachani, Gidas...kwahy huezi fungua frem ukauza mtumba utaishia kuzivaa mwenyew...pia kuna kitu inaitwa top 200 ni maarufu sana babati na ndo nguo za mtumba zinavyouzwa babati...
Vinga'muzi havivumi Babati kwa sababu kuna cable networks kama Manyara Cable Network (MCN) (90000/= Tshs) na Babati Cable Network (Aviti) (80000/=) ambayo ni bei rahisi kushinda hata hivyo ving'amuzi
Wanawake wapo wengi nakuunga mkono...ni wewe tu...desirii wa kiiraq ata ukimpa tabasamu zuri tu unamla hana shida ata.
Nadhani hujafanya research vizuri ndani ya huu mji....ulikurupuka kutoa uzi huu
NAWASILISHA,
ASANTE.
Mapishano haya kati ya brother war boi lupa na king MfalmewaKiha yanatusaidia sisi wengine kupata elimu pana kuhusu Babati na maisha yake kwa ujumla, Wakuu labda niwaulize kama mnavyosema kuwa kutoka babati hadi Arusha ni mwendo wa masaa 2 na kitu hivi, Jee hapo Babati kuna ofisi zozote zinazotoa huduma ya kuuza tiketi za ndege na safari za watalii? aka tour agents? Sisi wengine tumejikita huko
Sio kweli, Manyara nguo za mitumba ni shida sana hazipatikani hasa za mabinti/wanawake ni adimu mpaka mtu asubirie siku ya mnada. Namuunga mkono mtoa mada kila ulilolitaja ni fursa kwa Mkoa wa Manyara.
Ndio sasahivi Babati kuna mchanganyiko wa watu wengi, Mashirika, Makampuni na Ofisi nyingi za Serikali zimeajiri watu wengi tofauti na wazawa achilia mbali wafanyabiashara. Fursa ni nyingi kwakweliAsante Sana bro, maana sijui war boy anabisha nini. Frusa maana yake ni kulazimisha kisichopo ili kiwepo kiwanufaishe watu
naomba kuelimishwa ....Top 200 ni kitu gani/nini
Nadhani hujaelewa vizuri comments zangu dada soma vizuriSio kweli, Manyara nguo za mitumba ni shida sana hazipatikani hasa za mabinti/wanawake ni adimu mpaka mtu asubirie siku ya mnada. Namuunga mkono mtoa mada kila ulilolitaja ni fursa kwa Mkoa wa Manyara.
Hajaelewa nini, na umetumia kigezo gani kumwita Dada!!!Nadhani hujaelewa vizuri comments zangu dada soma vizuri
Kwa hiyo baada ya muda wataanza matangazo au ndio basi tena!!..Muhimu sana kuwa na redio kwa hapa babatiHv we sister unajielewa kweli?una uhakika radio Manyara iko hewani au na wewe upo kwenye list ya Konki master, Tatizo unajifanya unajua sana, Na ukithibitisha kwamba wako hewan, nta kuwekea barua ya tcra ya kuwasimamishia matangazo
Ndio maana mwanzo ilikuwaga Ngunguu, baada ya matatizo wamehamia Mrara juu, lakini pia bado hawajaanza kurusha matangazo, Ngoja nikuache na kingereza chako cha ugoko, mwisho ntapigwa Burn bure
Hajaelewa nini, na umetumia kigezo gani kumwita Dada!!!
Kwa hiyo baada ya muda wataanza matangazo au ndio basi tena!!..Muhimu sana kuwa na redio kwa hapa babati
Kwa hiyo baada ya muda wataanza matangazo au ndio basi tena!!..Muhimu sana kuwa na redio kwa hapa babati
Mkoa manyara kila karibia kila kijiji ina tarehe yale ya mnada unaozunguka mwezi mzima,kwahiyo watu wengi wanategemea mitumba toka minadani na mitumba ya minadani ni bei ya kutupa mno,kuhusu daladala sijui za kwenda wapi maana wakati mwingine daladala zinalala bila kazi pale stendi ya babatiWengi hufanya manunuzi ya nguo za mitumba kwenye minada.