King Rabbit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 1,204
- 4,394
| POST | DEREVA DARAJA LA II (DRIVER II) - 514 POST |
| EMPLOYER | MDAs & LGAs |
| APPLICATION TIMELINE: | 2024-08-03 2024-08-16 |
| JOB SUMMARY | NIL |
| DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i) Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari; ii) Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi; iii) Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari; iv) Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali; v) Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari; na vi) Kufanya usafi wa gari. |
| QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa mwenye cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Uendeshaji magari ( Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha VETA au NIT au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. |
| REMUNERATION | TGS. B |
DahThe United Republic of Tanzania, President's Office, Public Service Recruitment Secretariat
Recruitment
POST DETAILS
POST DEREVA DARAJA LA II (DRIVER II) - 514 POST EMPLOYER MDAs & LGAs APPLICATION TIMELINE: 2024-08-03 2024-08-16 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES i) Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
ii) Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;
iii) Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;
iv) Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;
v) Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari; na
vi) Kufanya usafi wa gari.QUALIFICATION AND EXPERIENCE Kuajiriwa mwenye cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Uendeshaji magari ( Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha VETA au NIT au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. REMUNERATION TGS. B
Kama umejisajili na ajira portal ni kutuma maombi tu,baada ya hapo kumwomba mungu tu afanye kazi yake.Nitapataje nafasi mungu nisaidie
AJIRA PORTAL hekaheka mkuu,je hamna emel nyingine tutume maombiKama umejisajili na ajira portal ni kutuma maombi tu,baada ya hapo kumwomba mungu tu afanye kazi yake.
Mfumo ni mmoja tu wa maombi ya ajira ajira portalAJIRA PORTAL hekaheka mkuu,je hamna emel nyingine tutume maombi
Tafuta mtu akusaidie bro hakuna namna nyingine unaweza pita.AJIRA PORTAL hekaheka mkuu,je hamna emel nyingine tutume maombi
Sawa ngoja nipambanie tongeTafuta mtu akusaidie bro hakuna namna nyingine unaweza pita.
Aaaaalaahhhh kumbeeeeMfumo ni mmoja tu wa maombi ya ajira ajira portal
๐จ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐
Mambo ya kusadika sweetheart....๐จ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐
Kujaza taarifa zako ajira Portal unaona hekaheka? Hongera sana mkuuAJIRA PORTAL hekaheka mkuu,je hamna emel nyingine tutume maombi
Hiyo TGS B ndo kama shinlingi ngapi wakubwa.