Unamaanisha nini unaposema initial capital?Sawa zote ni fursa ila kitu muhimu ni "initial capital" ndokinacho tusumbua hayo yote tunavijua
INITIAL CAPITAL=MTAJI WA KIANZIOUnamaanisha nini unaposema initial capital?
Kwa mfano nikuulize ukitaka kuanzisha biashara ya nursery school hapo ulipo jambo la kwanza unapaswa kuwa na nini?
HAPO BILA PESA HAMNA KITUSikuhitaji tafsiri, mtaji wa kuanzia unao tayari, ndo maana nilitaka kuuliza unamaanisha nini?
1. Una uhai, una afya, una maarifa, una watu ... nchi yako tajiri .. mtaji upi wa kuanzia huo?
Mtaji teteINITIAL CAPITAL=MTAJI WA KIANZIO
KODI, OSHA FEES, KODI YA ARDHI, JENGO, USAJILI WA KAMPUNI n.kUnamaanisha nini unaposema initial capital?
Kwa mfano nikuulize ukitaka kuanzisha biashara ya nursery school hapo ulipo jambo la kwanza unapaswa kuwa na nini?
sijakata ila pesa usiitoe kwenye initial capitalSikubaliani na wewe hata kidogo ...
Tumia vile ulivyo navyo kwanza .. pesa baadaye mkuu! Ukitanguliza pesa mbele huipati kamwe!
Jambo la kwanza ni ujuzi / maarifa juu ya uendeshaji wa hiyo Nursery .. hayo mengine ni baadaye mkuu! Ukiwaza hayo kabla ... ina maana unawaza kukwama! na utakwama kweli kweli.KODI, OSHA FEES, KODI YA ARDHI, JENGO, USAJILI WA KAMPUNI n.k
Unaoongelea hapa "hope" tuu...uhalisia sio rahisi kama maneno yako!Sikubaliani na wewe hata kidogo ...
Tumia vile ulivyo navyo kwanza .. pesa baadaye mkuu! Ukitanguliza pesa mbele huipati kamwe!
Lugha tuu za mnaojifanya ni inspirational speakers tuu hizi..... theories tuu na quotes ......uhalisia ndio changamoto!Uko sahihi kwa ile hali uliyoizoea ...
Hauko sahihi kwa ile hali ambayo hujaizoea ...
Toka katika ukawaida wako .. utaona uraisi wa kile ninachokiongea.
Mimi sijifanyi, naongea kitu ambacho ni real ...Lugha tuu za mnaojifanya ni inspirational speakers tuu hizi..... theories tuu na quotes ......uhalisia ndio changamoto!