FURSA KWA WANAVYUO TO MAKE EXTRA MONEY THIS HOLIDAY!
Umeshawahi kujiuliza wewe kama mwanachuo: ·Ni namna gani nitafanya business ya kuniingizia kipato cha kutosha pasipokuathiri masomo yangu? ·Ninapokuwa likizo ni business gani ambayo ninaweza kuwekeza na kupata pesa? ·Mara nimalizapo masomo yangu,wapi nitapata kazi ya kunilipa pesa ya kutosha kulingana na kiwango changu cha elimu ? ·Kwa muda gani nitaendelea kuajiriwa? Haya ni maswali machache ambayo hata mimi wakati nikiwa chuoni nilikuwa najiuliza sana na kutafakari nini kifanyike kubadili hali hii na maisha yangu kwa ujumla. Lakini mambo yamebadilika baada ya kupata nafasi ya kujiunga na kampuni ya Syntek Global inayosambaza product ya pekee inayoitwa XFT-xtreme fuel treatment,inayoweza kutumika kwenye magari, pikipiki ,generator,boti nk.Imefanyiwa utafiti zaidi ya miaka 20 kule marekani. Inafanya kazi kuu zifuatazo: üIncrease Fuel economy up to 25%üProlong Engine LifeüEnhance Horsepower and PerformanceüReduce Emissions up to 33%Good news is...sasa iko Tanzania na watu wengi wanapata fursa ya kununua,kuuza na kujiunga na hii kampuni na kuanza kutengeneza pesa. For more details contact Mike Angelo www.mikeitatiro.mysyntek.com +255 713 851 492 One secret of success in life is for a man to be ready for his opportunity when it comes
hahahaha Mkuu hivi ukweli kuhusu hawa Forever Living ukoje? Maana kuna siku nilipita sehemu nikashuhudia vijana wanajadiliana kuhusu hawa jamaa na kuna wengine wanajisifia kuwa wamenufaika kweli na hawa Forever living.
Thank u for ur question..but mimi sio distributor wa forever living.
ninahusika na kampuni pekee ya Syntek Global inayotengeneza product inayoitwa Xtreme fuel treatment
inayowanufaisha milions of people all over the world...kujiongezea kipato na kuokoa matumizi yao ya mafuta kwenye vyomba vyao vya usafiri kama gari,pikipiki,boti nk