Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,598
- 65,049
Vinapatikana kwa bei gani?Ondoa ufuta na ngano, vingine vyote vinapatikana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Zinapatikana kwa bei gani kwa gunia?Nyanya chungu na bamia
Weka bei mkuu ili tutathmini hali ya sokoMahindi, maharage, nyanya chungu,parachichi, mayai ya kienyeji,vitunguu, karoti, niagize unataka nini, nipo Kigoma
😂😂😂 tukipata bei ya kijijini itakuwa vizuri zaidiHapa watakuja wanakijiji kutoka mjini.
Subiri watoke maofisini😂😂😂 tukipata bei ya kijijini itakuwa vizuri zaidi
MAHARAGE 1KG=2000😂😂😂 tukipata bei ya kijijini itakuwa vizuri zaidi
Sawa mkuuSubiri watoke maofisini
Hii ni bei ya mjini mkuuMAHARAGE 1KG=2000
Maharage huku yanauzwa kwa bakuli (kilo moja na nusu) =1800TshWeka bei mkuu ili tutathmini hali ya soko
Bei hizo sio rafiki sana kwa mtu anayetaka kufanya biashara. Wengi tunaamini, vijijini bei za vitu huwa viko chini kutokana na mzunguko wa fedha kuwa mdogoMaharage huku yanauzwa kwa bakuli (kilo moja na nusu) =1800Tsh
Mahindi bakuri =800Tsh
Vitunguu Fungu 1= 1000Tsh lenye vitungu vikubwa 12, Vidogo 17
nyanya chungu beseni 1=5000 au 8000Tsh
kaloti beseni 1= 6000.
mayai , yai moja 400Tsh so 400 X Trei moja utapata jibu
Hayo ni mawazo ya kizamani vijijini sasahivi wote ni wasomi na niwaelewa wanafuatilia bei za soko ukizingatia nao wanavismati foni wanapata taarifa kuhusu putin na ukraine kama ambavyo huku mujini kila kitu mnasingizia putin kupanda kwa bei ya vituBei hizo sio rafiki sana kwa mtu anayetaka kufanya biashara. Wengi tunaamini, vijijini bei za vitu huwa viko chini kutokana na mzunguko wa fedha kuwa mdogo
Kwa mfano, ukiingia kijijini ndani ndani na ukaweka kijiwe cha kununua mitetea ile mikubwa kwa 5000; ununuzi hautafanikiwa?Hayo ni mawazo ya kizamani vijijini sasahivi wote ni wasomi na niwaelewa wanafuatilia bei za soko ukizingatia nao wanavismati foni wanapata taarifa kuhusu putin na ukraine kama ambavyo huku mujini kila kitu mnasingizia putin kupanda kwa bei ya vitu
dah itakuchukua mda mrefu kujaza mzigo wa maana mitetea mikubwa vijijin kwa sasa ni elf 7-8Kwa mfano, ukiingia kijijini ndani ndani na ukaweka kijiwe cha kununua mitetea ile mikubwa kwa 5000; ununuzi hautafanikiwa?
Unakuwa na kijiwe kinachofanya kazi kila siku, kununua mifugo na bidhaa kwa wanakijiji kwa wale wanaohitaji hela ya chapu chapudah itakuchukua mda mrefu kujaza mzigo wa maana mitetea mikubwa vijijin kwa sasa ni elf 7-8
Yaani 1200 kilo ya maharage unasema sio rafiki?Bei hizo sio rafiki sana kwa mtu anayetaka kufanya biashara. Wengi tunaamini, vijijini bei za vitu huwa viko chini kutokana na mzunguko wa fedha kuwa mdogo