Tunahitaji vijana wanaoishi katika halmashauri ya Lindi kwa ajili ya kazi ya kukusanya data kwenye utafiti unaofanywa eneo hilo. Sifa ni wanafunzi waliopo kidato cha sita au vyuoni wanaotaka kupata kujipatia kipato kwenye muda wao wa ziada hasa wikiendi. Tunalipa vizuri lakini pia ni fursa ya kujifundisha kukusanya data. Watakuwa chini ya uangalizi wa mwanafunzi wa ngazi ya uzamili. Kama unahitaji nafasi hii nitumie PM. Asante.