Kupitia Shirika la Friends of East Africa Chieldhood Development Care and Education Tz, kwa ushirikiano na Omep world www.[B]worldomep.org/[/B]
Wanapenda kuwakaribisha wadau wote wa Elimu kwa kuanzia Elimu ya Awali
Lengo
Kuwaunganisha walimu wa Awali Tz na Wenzao wa KImataifa
Kupewa Elimu(Maarifa), Mafunzo, Usaidi, programu za kujiendeleza- Ujasiriamali jamii katika maeneo yao ya MIkoani.
Kumwinua Mwalimu wa Awali waliosahaulika na Serikali;
Kuwa wanachama wa Taasisi zote mbili FECDCE na Omep World kwa fursa tajwa
Kutambua ya Kuwa maslahi ya walimu ni duni na kuona umuhimu wa fursa hizimbaimbali wametoa nafasi 30 zitakazolipiwa Robo tatu ya ada na kilichobakia atamalizia Mwenyewe.
NI vyemauwe ni mtu mwenye maono ya ya maendeleo katika sekta husima (Elimu) wenye moyowa dhatiwa fikra BUnifu
Kwa maelezo zaidi tuma barua pepe kwenda friendofecdce@gmail.com