Napenda kujulisha umma wa watz kwamba kama wewe una-skill zozote ambazo umesomea au unazo. Unaweza kujiari kama freelancer kufanyia watu kazi online.
Kuna you website kama www.Upwork.com na www.Fiverr.com zinaweza kukuingizia fedha.
Zipo nyingine nyingi sasa ni wewe kutafuta. Kwa saa huu nakupa hizo hapo.
kujisajili ni rahisi,fuata maelekezo.
huu ni wakati kujitafutia mafaniko na sio kusuburi kazi za serikali sijui nini.