Fursa kwa mtaalamu wa Kiswahili

Fursa kwa mtaalamu wa Kiswahili

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Anahitajika mtu kwaajili ya kufundisha Kiswahili wazungu kwa muda wa siku saba.

VIGEZO
-Awe na shahada ya kwanza Kiswahili (B.A Kiswahili)
-Awe na uzoefu wa kufundisha Kiswahili walau mwaka mmoja
-Afahamu vizuri lugha ya Kiingereza

Malipo ni mazuri kwa atayefanikiwa, chakula atapewa kwa siku zote za mafunzo hayo.

Kama una vigezo tajwa, tafadhali tuma CV yako kwa mtu huyu (usiandike barua): tonyhaule@hotmail.com

DEADLINE: Hakikisha unatuma kesho kabla ya saa kumi na moja (tarehe 27, mwezi wa 8, 2014)
________________
UPDATE
Asanteni kwa ushirikiano mliouonyesha, tayari tumefanikiwa kumpata mmoja kati ya wengi waliyoomba. Hii program ni endelevu hivyo itakapokuja kwa wakati mwingine na kadri itakapozidi kupanuka ndipo tutazidi kuongeza watu.
 
I don't have ba in swahili, but I can teach them very well, coz I did language communication and development
 
siku saba ndiyo mkataba gani huo!?

Endelea kutafuta mkataba utakao kuridhisha wewe. Mzungu mmoja anafundishwa kwa elfu 30 kwa siku (utaratibu wetu) zidisha mara kumi ambayo ni idadi ya wazungu mara siku saba, ukipata jumla yake uje uniambie hiyo pesa ni ofisi gani itaweza kukulipa kwa siku saba zaidi ya bunge la katiba. Jichunge sana Emmanuel Thadei
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom