Fursa kwa developers na hackers

Nimejiuliza swali hapa, kwani ku unlock ni sehemu ya kuhack? Vi kitu kimoja?
Wewe unaota mchana au Ni Beginner kabisa, mnatumia hizo GUI program ku unlocked iclouds ndo unadhani umehack iphone
 
Mkuu, hizi huwa ni siasa tu za nje ya ulingo, lakini kiuhalisia kampuni zote huwa zinatoa backdoor kwa serikali zao kwa ajili ya usalama wa nchi, ndo maana baadhi ya mitandao ya kijamii kwenye nchi fulani huwa zimefungiwa kwa kuwa kampuni husika huwa zinakataa kutoa backdoor kwa serikali, Apple ni wazuri sana linapokuja suala la privacy issues lakini haimaanishi kwenye serikali yao ya marekani hawatoi ushirikiano kwa data za wamiliki wa simu za Apple
 
Mkuu, acha maelezo mengi, action speaks louder than argument, ingia kwenye mzigo chomoka na dolali zako hapo
 
Acha Blah blah nenda kachukud Billion izo sasa
 
The wise speak less. Ingekuwa mimi najua kuhack wala nisingehangaika kuleta maelezo marefu to try to prove a point. Kuna tatizo somewhere..
Ndo maana wazungu wanasema actions speak louder than arguments, ukiona mtu mdomoni pamekuwa jam sana ujue anataka ushawishi tu lakini sio reality
 
Nyie jidanganyeni tu eti wakupe hela we jipeleke tu wanakufyekelea mbali unapotea mazima na uhacker wako
 
Hellow kwa wale wote wenye iPhone zenye lock ...ICLOUD....Motherbody(mashine) pia naagiza kwa bei nafuu kama simu yako ina lock unaweza ukaitoka kwa urahis kwa kubadili motherbody(mashine) au kama pia motherbody yako imekufa maybe imepiga shot n.k .
Tsh
.
iPhone 4 motherboard.
16Gb =50,000.
.
iPhone 4s motherboard
8Gb = 60,000.
16Gb = 70,000.
32Gb= 80,000.
.
iPhone 5s (no fingerprint)
16Gb =100,000.
32Gb = 120,000.
64Gb = 160,000.
....With Fingerprint
16Gb = 130,000.
32Gb = 150,000.
64Gb = 200,000.
.
iPhone 6 ( No finger print )
16gb = 160,000.
64gb = 180,000.
64Gb = 200,000.
........with finger print
16gb = 150,000.
32Gb= 220,000.
64Gb= 270,000.
.
iPhone 6 plus (no finger print)
16gb = 200,000.
64gb = 220,000.
......with finger print)
16gb = 250,000.
64gb = 280,000.
.
iPhone 7 (no fingerprint)
32gb =220,000.
128gb =250,000.
.....With finger print
32gb= 300,000.
128gb = 460,000.
.
iPhone 7 plus (no fingerprint )
32Gb = 230,000.
128Gb = 280,000.
.
..........UKITAKA MOTHERBOARD UNAWEKA ORDER ALAF NAAGIZA BAADA YA WEEK 2 UNAPATA MOTHERBOARD.......
.
WhatsApp
.
Instagram
.
Call
#0784757203
.
Text message
0784757203
.
LOCATION
Kijichi, Mbagala kuu, Temeke, Dar es Salaam, Tanzania. .
Joseph Robert
 
Hellow kwa wale wote wenye iPhone zenye lock ...ICLOUD....Motherbody(mashine) pia naagiza kwa bei nafuu kama simu yako ina lock unaweza ukaitoka kwa urahis kwa kubadili motherbody(mashine) au kama pia motherbody yako imekufa maybe imepiga shot n.k .
Tsh
.
iPhone 4 motherboard.
16Gb =50,000.
.
iPhone 4s motherboard
8Gb = 60,000.
16Gb = 70,000.
32Gb= 80,000.
.
iPhone 5s (no fingerprint)
16Gb =100,000.
32Gb = 120,000.
64Gb = 160,000.
....With Fingerprint
16Gb = 130,000.
32Gb = 150,000.
64Gb = 200,000.
.
iPhone 6 ( No finger print )
16gb = 160,000.
64gb = 180,000.
64Gb = 200,000.
........with finger print
16gb = 150,000.
32Gb= 220,000.
64Gb= 270,000.
.
iPhone 6 plus (no finger print)
16gb = 200,000.
64gb = 220,000.
......with finger print)
16gb = 250,000.
64gb = 280,000.
.
iPhone 7 (no fingerprint)
32gb =220,000.
128gb =250,000.
.....With finger print
32gb= 300,000.
128gb = 460,000.
.
iPhone 7 plus (no fingerprint )
32Gb = 230,000.
128Gb = 280,000.
.
..........UKITAKA MOTHERBOARD UNAWEKA ORDER ALAF NAAGIZA BAADA YA WEEK 2 UNAPATA MOTHERBOARD.......
.
WhatsApp
.
Instagram
.
Call
#0784757203
.
Text message
0784757203
.
LOCATION
Kijichi, Mbagala kuu, Temeke, Dar es Salaam, Tanzania. .
Joseph Robert
 
kwa nilivyo waelewa apple wanataka mtu ataegundua udhaifu wa software yao even hardware ,kwakua udhaifu ndio mlango wa kuingilia mfumo wowote ule, wanataka mtu ataegundua njia itayounlock icloud,bila kupoteza data zilizo ndani , kuattack network ambayo itashambulia network zingine. lakini hawa wabongo wanajidai kuanlock ni waongo tu na wez wengine , app device unlocking inataka hardware kama ilivyo wa android wanavyotengeneza hardware
 
Sio rahisi kama mtu ameongeza second layer of security kama two factor authentication
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…