Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,827
- 14,018
Huyu nae kaliwa anajifanya ni mnyamazi ya Kalynda sijui kumbe watu wana mission yao
Huyu nae kaliwa anajifanya ni mnyamazi ya Kalynda sijui kumbe watu wana mission yao
Eti mshauri wa serikali 😅😅😅😅
Hasa, makampuni ya kubet yamekua mengi na matangazo radio yamekua kero na hii ya kalynda naona watu sijui wameshapigwa huko twtter wengi naona walijiunga.
All in all vijana tuchakalike na tusichague kazi
Sure ila ni very risk maana unaambiwa betting ni mchezo wa matarijiri wenye pesa kupunguza pesa ndio wanaenda kupunguza upepo kwenye kubet akikosa sawa akiliwa sawa ila hakuna anachopotezaMara 100 kubet unaona hela yako inavyokwenda.
Lakini pia uzembe katika mamlaka kusimamia mambo ya msingi kunafanta matapeli waitumie serikali kuwaibia wananchiZimechagizwa zaidi na ukosefu mkubwa wa ajira na ujio wa kamari mpaka vichochoroni
Zimechagizwa zaidi na ukosefu mkubwa wa ajira na ujio wa kamari mpaka vichochoroni