Ben Zen Tarot JF-Expert Member Dec 13, 2014 3,915 6,717 Jan 14, 2021 #1 Vijana changamkieni fursa hii
Albahi JF-Expert Member Dec 30, 2020 480 579 Jan 14, 2021 #2 Ben Zen Tarot said: Vijana changamkieni fursa hiiView attachment 1677540 Click to expand... Hiyo fursa changamkia we mwenyewe.
Ben Zen Tarot said: Vijana changamkieni fursa hiiView attachment 1677540 Click to expand... Hiyo fursa changamkia we mwenyewe.
Ben Zen Tarot JF-Expert Member Dec 13, 2014 3,915 6,717 Jan 14, 2021 Thread starter #3 Albahi said: Hiyo fursa changamkia we mwenyewe. Click to expand... ahaha, sawa mkuu huenda wengine wakachangamkia kimya kimya
Albahi said: Hiyo fursa changamkia we mwenyewe. Click to expand... ahaha, sawa mkuu huenda wengine wakachangamkia kimya kimya
Moisemusajiografii JF-Expert Member Nov 3, 2013 34,241 54,780 Jan 15, 2021 #4 Kwa nini wasijibidiishe kutumia huo utaalamu kupambana na corona?
N nguvu JF-Expert Member Jun 13, 2013 21,144 19,937 Jan 16, 2021 #6 Ben Zen Tarot said: Vijana changamkieni fursa hiiView attachment 1677540 Click to expand... Hao bodi wajiangalie watarogwa wote
Ben Zen Tarot said: Vijana changamkieni fursa hiiView attachment 1677540 Click to expand... Hao bodi wajiangalie watarogwa wote
Doctizo Mtengwa JF-Expert Member Feb 16, 2019 821 1,496 Jan 16, 2021 #7 Tanzania Pia inaenda kufundisha?πππ Lazima, mshana Jr, mzizi mkavu , Rakims Watakua ni waalimu hiyo chuoππ€£ πππΆ
Tanzania Pia inaenda kufundisha?πππ Lazima, mshana Jr, mzizi mkavu , Rakims Watakua ni waalimu hiyo chuoππ€£ πππΆ
Ben Zen Tarot JF-Expert Member Dec 13, 2014 3,915 6,717 Jan 16, 2021 Thread starter #8 Doctizo Mtengwa said: Tanzania Pia inaenda kufundisha? Lazima, mshana Jr, mzizi mkavu , Rakims Watakua ni waalimu hiyo chuo Click to expand... Tanzania ipo vizuri mno ndo maana imepata nafasi ya kupeleka wataalamu wake Kenya
Doctizo Mtengwa said: Tanzania Pia inaenda kufundisha? Lazima, mshana Jr, mzizi mkavu , Rakims Watakua ni waalimu hiyo chuo Click to expand... Tanzania ipo vizuri mno ndo maana imepata nafasi ya kupeleka wataalamu wake Kenya