Mkuu kwanza kabisa genuine site haiwezi kujiita twitterfollow hilo neno twitter tu linatia shaka.
Pili iko hosted kwenye server ambazo zina sifa ya kuhost suspicious site
Tatu ina run on top another site ikiwa ina maana unaweza kuwa unafanya kitu kumbe china kimafanyika site nyingine.
Nne, imefunguliwa haina miezi kibao hivyo hata ni ngumu kuiamini.
Na tano, hakuna biashara yoyote genuine eti ili ulipwe kwa kazi unayofanya lazima kwanza ulipie, red flag.