Fursa fursa fursa

Huu wizi yaani nazanj hii ni DECI nyingine
 
Jaman mwacheni kijana anatafuta wazazi wake 6 [emoji23][emoji23] wampe 10 10 zao [emoji23]
Watanzania tunapenda slope hatari
 
Utapeli hatutakiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Ukoo wenu mko wangapi?

Charity begins at home,watajirishe wa kwenu kwanza then ndio uje kwetu ambao hata hutujui
 
DECI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…