FURSA DODOMA

Jerry pro

Member
Joined
Oct 14, 2023
Posts
8
Reaction score
6
Habari wana JamilForums,


Mimi ni fundi mbobevu wa samani


(furniture maker) na mwanzilishi wa chapa


ya Heritage Style. Natafuta mwekezaji anayependa kushirikiana nami katika kukuza biashara ya samani bora jijini Dodoma.


Nina uwezo na utaalamu wa kutengeneza samani za kisasa zenye viwango vya hali


ya juu. Natafuta mtu mwenye nia ya kuwekeza ili tuweze kupanua wigo wa uzalishaji.


Kama uko tayari au una shauku ya


kuwekeza kwenye sekta hii, tafadhali tuwasiliane kwa namba: +255625026714.
 

Attachments

  • IMG_7365.jpeg
    1.5 MB · Views: 7
  • IMG_7356.jpeg
    1.6 MB · Views: 8
  • IMG_7370.jpeg
    870 KB · Views: 7
  • IMG_6569.jpeg
    992.4 KB · Views: 7
  • IMG_6555.jpeg
    590.7 KB · Views: 6
  • IMG_6455.jpeg
    892.9 KB · Views: 7
  • IMG_6081.jpeg
    1.1 MB · Views: 7
  • IMG_6082.jpeg
    965.6 KB · Views: 6
  • IMG_6069.jpeg
    1.7 MB · Views: 6
  • ld-export-a8000662-05042026.jpeg
    703.5 KB · Views: 5
  • IMG_6017.jpeg
    1.2 MB · Views: 6
  • IMG_5903.jpeg
    1.8 MB · Views: 6
  • IMG_5911.jpeg
    1.3 MB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…