Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,203
- 157,377
Fursa Hazijaisha Kijana
Hapa ndio huwa Nawaambia watu shida inapotokea nchini ni fursa mpya. Njaa ikija kijijini kwako kijana hiyo ni fursa yako. sasa oneni kupotea kwa Pesa kulivyo fursa kwa wengine. Situmii kilevi chochote nameona tuu yafaa kuwa mfano
Baada ya masomo ya kusoma namba kukolea nchini, wazalishaji wa pombe za bei nafuu Balimi(Bia ya Wakulima), Senetor(pombe ya ndg zangu Njeree) na Egeal bia za buku jero zavunja record ya mauzo hadi kuadimika nchini. Nikiongea na meneja mauzo Kanda ya pwani wa Balimi extra amesema wameongeza magari ya wasambazaji na masaa ya uzalishaji kuwa masaa 24 badala ya masaa 12 ya awali. Just a lesson to u!!!!