Fursa: Anatafutwa mwalimu wa Physics na Mathematics

Fursa: Anatafutwa mwalimu wa Physics na Mathematics

mwasebason

Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
16
Reaction score
2
Habari Mwalimu wa Physics na Mathematics anahitajika shule ya SANDY VALLEY iliyopo Kivule, Ilala - Dar es salaam.

SIFA ZA MWALIMU

1.Awe na Umahiri wa kufundisha
2.Awe na Shahada ya Elimu katika masomo tajwa.

Maombi yapelekwe shuleni kabla ya tarehe 05/05/2022 na Usahili utafanyika shuleni tarehe 05/05/2022

Kwa maelezo zaidi
0620685359
 
Posho kwa mwezi kiasi gani
 
Hizi shule za binafsi zina matatizo sana.unaweza kudhani umepata kazi kumbe umeingia kwenye tanuru la moto!hawalipi mishahara hata kwa miezi sita mfululizo,sijui walimu wale wapi.
By the way yule mkuu wenu wa zamani yupo huku kwetu akiwa na wanafunzi wenu aliohama nao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom