Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 3,104
- 4,574
olewa sasa hayo hutakua nayo utakua happy na bwana ako aliyekuoaHoja yako haithibishi kuwa hii ni furaha ya mwanaume bali furaha ya ku-achieve kitu ambacho ngumu kukifikia ukikifikia unafurahi.
Thing to be happy haitaji makandokando chenille kinabalu kite straight Happyness kama mfano kufanya mapenzi, kula chakula kitamu, kuangalia football kwa wapenzi wa football nk
Ila furaha sio majukumu ya kuhuduamia watu kwenye uchumi ambao haupo sure kabisa at any time T unakuwa jobless, watu wanagongewa hawawezi hudumia, wanachelewa kuoa hawana maisha, huna hela huna maana kwa mke....HOW COME YOU CALL IT HAPPYNESS.
Ukweli haya ni majukumu na tuponayo by nature isiwe sababu ya ku pretend kindezi.
Sio mwanaume huyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona mara nyingi tyuu.
Ila nani sasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio mwanaume huyo
Ki-vulanaIla nani sasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas sawaahKi-vulana
NAKAZIAMke anakusubiri urudi kazini hizo nyakati za usiku wakati mwingine anapitiwa na usingizi kukusubiri mume wake mana bila wewe afurukuti kaka.
Mungu alijua yuto haya kuwa wanaume katupa mzigo mzito ndio maana aka ambacho kutuumba na KIFUA(GUT) ya kuto kulalama na hata kuji proud na shida zetu, ila asingetuumba hivyo tungetoa milio kilasiku.hii ilikua ni adhabu lakini kujifanya shinda maumivu, (shinda maumivu kuruta in afande voice)
sawa mwanaumeInashangaza pale pisi anajifanya anamjua mwanaume😂😂😂 I have had enough of this nonsense am out.
Kwa mfano tu hiyo pp nimeizoom tu nikajisemea maua yapo kila sehemu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas sawaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noumaaah!!!Kwa mfano tu hiyo pp nimeizoom tu nikajisemea maua yapo kila sehemu.
Kuziondoa ni kuwa mwanamke tuMimi mwanaume na siwezi kujivunia hayo mateso na shida, na ku-pretend kuwa eti ndio furaha kwa mwanaume Never.
Na ningekuwa na option ya kuziondoa ningeziondoa tu kwangu na nikabaki mwanaume vilevile.
Huyo nanyonya lips mpaka kanasema bac nimechoka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noumaaah!!!
Ukikosa hoja unakimbilia matusiolewa sasa hayo hutakua nayo utakua happy na bwana ako aliyekuoa
Mbona simple😂😂
Accurated! bravo.. Kuna mwingine hapo juu nimemjibu tu sawa,coz sikuhizi ligi sifanyi kabisaMungu alijua yuto haya kuwa wanaume katupa mzigo mzito ndio maana aka ambacho kutuumba na KIFUA(GUT) ya kuto kulalama na hata kuji proud na shida zetu, ila asingetuumba hivyo tungetoa milio kilasiku.
Kwamimi muumini wa dini, kwenye maandiko inasema mtume alikuta wanawake wengi motoni, hii inamaana Mungu kuwa hana Double Standard hizi shida alizopewa mwanaume kwa upande wa mwanamke kapewa jukumu la kuwa chini ya mwanaume nk akifeli kwenye majukumu yake kwa mumble njia ya motoni ni nene sana.
Huu ni mzigo sio furaha tuache upuuzi
Ndo baadhi yao humu walivyoUkikosa hoja unakimbilia matusi
Nikisema kuziondoa by Nature Mungu mwenyewe angeweka option.Kuziondoa ni kuwa mwanamke tu
Em sema kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo nanyonya lips mpaka kanasema bac nimechoka.
Saa hiyo nimemshika kiuno au ass! Acha aisee hatari halaf ukute mtoto ananukia vizuri.Em sema kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariiii sanaaa.Saa hiyo nimemshika kiuno au ass! Acha aisee hatari halaf ukute mtoto ananukia vizuri.