Ndo kusema? Wanaume tuna raha mbaya girl.Mimi niwape pole kwa hiyo furaha yenu
sweet nothings.Ndo kusema? Wanaume tuna raha mbaya girl.
Kiruuu chandeng'aaa mekuu stop being delusionalsweet nothings.
Unapenda wanaume tuteseke!Mbona km hii furaha ni ya kulazimisha na sio halisia? Nweiiii nini kumekupata mkuu?
Poleeee sanaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapanaaa!!!Unapenda wanaume tuteseke!
Tukimshika pisi hata kama ni ass tu raha kama yote😂 kwa hiyo hatuwez teseka.Hapanaaa!!!
Ukweli ukimshika mwanamke kalio yeye mwanamke ndio anasikia raha kuliko wewe mwanume.Tukimshika pisi hata kama ni ass tu raha kama yote😂 kwa hiyo hatuwez teseka.
njoo nikuhonge usiteseke na kutafuta helaMimi mwanaume na siwezi kujivunia hayo mateso na shida, na ku-pretend kuwa eti ndio furaha kwa mwanaume Never.
Na ningekuwa na option ya kuziondoa ningeziondoa tu kwangu na nikabaki mwanaume vilevile.
Acha masihara mkuu! Huwa wanasikia raha?Ukweli ukimshika mwanamke kalio yeye mwanamke ndio anasikia raha kuliko wewe mwanume.
Wengi wanashindwa ndo maana wana leftHabari wakuu.
Sisi WANAUME tumepewa mamlaka makubwa sana na mwenye mamlaka.Hivyo basi wewe ni mwanaume kwahiyo furahia kuwa hivyo kaka.
Unatafuta pesa kwa akili nyingi ili Mama,baba,Mke,watoto na ndugu ili wapate msaada wako asee sio kazi ndogo kaka.
Umetulia unawaza mambo yako unaskia simu inaita kuangalia ni namba ngeni baada ya kupokea unaskia sauti ya ex wako analalamika anataka mrudiane,unaamua kukata simu na kuwa busy na mawazo yako kaka.
Kuwa mwanaume ni furaha sana mana nguvu kuu inakuchagua wewe ndio tegemezi la familia kwahiyo kila MTU atakuangalia wewe kwa shida zake,utaanza kulalamika kwanini kila kitu ni mimi..!! Asee kaka wewe Ni nguvu ndio mana umechaguliwa na umeonekana unaweza na Wewe Ni mwanaume kwahiyo usilalamike wala kulialia kaka.
Mke anakusubiri urudi kazini hizo nyakati za usiku wakati mwingine anapitiwa na usingizi kukusubiri mume wake mana bila wewe afurukuti kaka.
SISI WANAUME NI NGUVU KUBWA KATIKA HII DUNIA.
Kwani ye ni mwanamke!!Unapenda wanaume tuteseke!
Ndiyo ni pisi hiyo.Kwani ye ni mwanamke!!