Furahia Internet Bila Modem

Jamani wanajamvi najua hii tethering na share internet ya cm kwenda PC. Swali langu ni je kinyume chake inawezekana? Yaani internet ya PC kwenda Cm?
 
Ngoja nijaribu..
 
Hii habar nilidhani ya 2010 kumbe imeandikwa 2016..!!!
 
Hii habar nilidhani ya 2010 kumbe imeandikwa 2016..!!!
Kwa hiyo nini kinakusumbua? Kama ulidhani imepitwa na wakati kwa nini ume-click na ukaisoma? ni nani kakulazimisha uisome? Jifunze kushirikisha akili yako kabla ya ku-comment.
 
Me binafsi nilikua sijui hii kitu na nilikua na tamani siku nyingi nijue thenks mleta Uzi si watu wote wanajua kila kitu
Kuna watu wapo dar ila kariakoo awapajui
 
Me binafsi nilikua sijui hii kitu na nilikua na tamani siku nyingi nijue thenks mleta Uzi si watu wote wanajua kila kitu
Kuna watu wapo dar ila kariakoo awapajui
Thanks pia ndugu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ