Genius one
Senior Member
- Jul 11, 2015
- 134
- 69
Sasa angetengeneza mwenyewe ungesemaje?Genius katika ubora.
Sasa angetengeneza mwenyewe ungesemaje?
I don't disrespect unknown people like you. I think, either your stupidity or your dirt mind made you to think so.Kuna njia nyingi za kushukuru, yeye ameamua kushukuru kwa njia hiyo.Tatizo liko wapi,kosa lake liko wapi? Au unataka kila mmoja awe kama wewe? Learn to respect people.Peace!
Mb zinatumika au?
Ahsante SanaNdiyo,MB zinatumika .Kwa mfano ukinunua kifurushi cha internet kwenye simu yako au tablet waweza kuunganisha simu/laptop/tablet ya mke/mme wako,rafiki zako,wafanyakzi wenzako au vifaa vyako mwenyewe,mpaka vitano au zaidi kwa kutumia source ya internet moja(bundle moja)
I don't disrespect unknown people like you. I think, either your stupidity or your dirt mind made you to think so.
I'm sorry. I meant different from what you understood
I don't disrespect unknown people like you. I think, either your stupidity or your dirt mind made you to think so.
I'm sorry. I meant different from what you understood
Genius au jini hasi?Please don't hijack our eye opening thread with your filth language.This thread is not your size and is not even your type.Go to the threads of you size & type. Byeeee!
hapana Mb hazitumiki ila Chaji Ndio Inatumia๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐Mb zinatumika au?
Hahaa,nitakusemelea kwa TCRA- umeiba jina langu.Lol!Genius mwenzang [emoji13]
Haki zote zimehifadhiwa teh teh tehHahaa,nitakusemelea kwa TCRA- umeiba jina langu.Lol!
BRAZA HILO TU UNAJIITA GENIUS DUUH HIYO MBONA KILA MTU ANAJUA TOKA SMARTPHONE ZILIPOKUJA...!!Je unayo Laptop,Tablet Pc,or Smartphone au vyote? Je unajua ukiwa na smartphone au tablet/Phablet huhitaji tena kununua modem ? Ndiyo,inawezekana.
Leo nitaeleza jinsi unavyoweza kufarahia internet kwenye PC yako,au vifaa vingine tajwa hapo juu bila kutumia modem au waya wowote .
HOW?
It is very simple just follow these steps:
1.Chukua smartphone yako au tablet/phablet then nenda kwenye "settings","Click "More..."
2.Click "Tethering and portable hotspot" then W-ifi -hotspot utaiona sehemu ya kuweka password yako.
3.Weka password yako au tumia iliyopo kwenye kifaa chako.Ukitaka kujua password ya kifaa chako tick/check kwenye kibox chenye maneno haya "Show Password"
4.Weka ON hapo kwenye 'Wifi-hotspot' then ENJOY!
NOTE:-Hapa unaweza kuunganisha devices/users hadi 5 au zaidi just click Wi-FI then ON.
-Kama Unatumia Laptop hakikisha umeinstall Wifi-hotspot kwanza, it's FREE!
Say byee.. to Modems!
ENJOY!
Genius One