Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
uwii karibu karibu pita hadi ndani..........
Asante mrembo
Kwema?
uwii karibu karibu pita hadi ndani..........
Niko hapa! Ila Uko tayari kupanda Ka Fisi km usafiri?
hizo dot dot sijaelewa kabisaaaaaaaaaaaaaaa
baba paroko
Hapo umemuweza kabisa!
Teh Teh Teh Teh!
His excellency, Ntuzu! niseme nini kwa baraka zoote hizi? nikupe ahsante ya kifalme... peyaaaaaa!!!!
ahsante kwa kunitunuku malikia wa moyo wangu, my sweetness, my everything my sunshine.. beautiful, miss neddy!!
u hali gani huko uliko?
baba paroko
His excellency,
Ntuzu! niseme nini kwa baraka zoote hizi?
nikupe ahsante ya kifalme... peyaaaaaa!!!!
ahsante kwa kunitunuku malikia wa moyo wangu, my sweetness, my
everything my sunshine.. beautiful, miss
neddy!!
u hali gani huko uliko?
Ndoto ndoto za ajabu zilikuwa haziishi usiku nikahamia kigambonino.
In the name of love yote yanawezekana