Furaha ya simba ipo mashakani...!

kipindupindu

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
1,053
170
Inasemekana meneja wa club ya TP MAZEMBE yuko cairo makao makuu ya CAF akiangalia vifungu ili timu yake ikate rufaa dhidi ya maamuzi ya kamati ya maandalizi ya ligi ya mabingwa Africa,maamuzi ambayo jana yaliifanya simba sc kuendelea na mashindano.
Watani zangu simba msipende ushindi wa mezani!!
 
Sijui kama mtani atachomoa kwa hao waarabu. Waarabu walisha jipanga kabla walijua watapata nafasi hii, kazi iko kwa mtani, itabidi wawaombe tena mazembe samatta na ochan
 
Rage ni mfano wa kuigwa. Ni kiongozi pekee mwenye ufahamu na upeo mkubwa kuliko yeyote aliepo Tanzania. Simba imeshashinda just kufumua mapungufu ni namna moja ya kupata heshima hatuofii waarabu hapo. Timu zote zitatia heshima zinapocheza na Simba hasa kwa umakini. Simba tumeandika historia tena kumng'oa bingwa. RAGE JUUUUU.
 
CAF wameshaamua kombe liende kwa waarabu maana TP wangeshinda msimu huu wangelibeba jumla
nakubaliana nawe kuwa furaha ya SSC ipo mashakani sio kwa kutengua rufaa ila muda uliobaki wa maandalizi ya mechi wakati SS Club imeuza wachezaji na haina mbadala wao pia wala kocha hajakaa na timu,hivyo ni daraja kwa Wydad Casablanca kusonga mbele
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom