Furaha ya Migogoro ya Serikali

Wanamitandao? So hao wanamitandao wana ndugu ambao wananchi wapo vijijini? [emoji23][emoji23]

Kwa hiyo hawa wanamitandao wapo mjini si ndo hivyo?

Hivi hawa wanamitandao wanaishi wapi
 
Tunarimia meno!!
 
Matumizi mabaya ya Kodi zetu,

Majuzi Prof Kabudi alikuwa China kufanikisha Mkopo wa Mabilioni.

Sasa subiri siku China nao wakamate Mali zetu.

Tatizo ni matumizi sahihi ya hiyo Mikopo haimnufaishi Mwananchi moja kwa moja, mwisho wa siku yeye ndiyo mlipaji.
 
Nadhani watu wengi wanafurahia matatizo yanapotokea kutokana na nguvu kubwa inayotumika kutangaza baadhi ya mambo ambayo ni kawaida,
Kingine kuonekana kana kwamba waliotangulia hawakufanya lolote, hivyo wengi wana roho ya wacha tuone
 
Kuna mambo yanasiktisha sana...

Wananchi kufurahia serikali yao inapopatwa na migogoro na nchi zingine... nadhani ni kwa sababu serikali yenyewe ndani tayari ina migogoro na wanachi wake...

Ni sawa na baba awe mbabe kwa familia yake, siku familia wakisikia huko nje baba nae kataitiwa, lazima watasema afadhali nao kidogo apitie ghadhabu kama anazotupatia sisi...



Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…