Furaha ya Migogoro ya Serikali

 
So tatizo ni ushirikishwaji kwa wananchi kama wadau wakubwa wa miladi na maendeleo yao[emoji3581]

Ukosefu wa uwazi kwa wananchi [emoji3581]

Watu kubanwa pale wanapotoa maoni kuhusu nchi yao [emoji3581](uhuru)

Asante sana Kiongozi

Aswaaaaa, hayo ndiyo majibu. Wananchi wanaipenda sana nchi na rasilimali zao.
 
Uvunjwaji wa katiba [emoji3581]

Je kama Mwananchi unaiwajibishaje serikali ambayo umeiweka madarakani
Sasa si serikali inatuua

Tufanyeje sasa

Inatuua wananchi

Inatupiga risasi

Inatusakizia kesi

Haitaki kukosolewa


Inaumiza wananchi wake

Inakiuka katiba

Point ni nyingi sana broh hapo nimekupa chache wenzangu wataendelea
 
Umeongea kwa uchungu sana.., [emoji848][emoji848]
 
Hapa nadhani ni ATCL vs Fast Jet!

Tulipozuia ndege yao pale JNIA nadhani walikuwa na wao wanatupigia mahesabu.
 
Hahahahah hilo nalo ni tatizo kufikilia uchawi baadala ya msingi wa tatizo..

Mimi siamini kama ni uchawi, naamini kuna sehemu hapapo sawa, pande zote mbili kwa serikali na wananchi wake ambao ndio wenye serikali
Sijasema uchawi per say, nimeongelea hali ya kuwa na hulka za kichawi, uchawi ni hali ya kutopenda maendeleo ya wengine, hata serikali yako, ni roho mbaya
 
KIBURI CHA VIONGOZI WA AWAMU YA 5 WAFUASI WAO.
waliponunua ndege walitusema Sana wapinzani na wengine wakasema ni Mali ya CCM.
Leo ndege ikamatwe nihuzunike Kwa lipi?
wakati sio Mali yangu ni ya CCM?
Na Mimi na CCM kama chui na paka.
 
Wanaofurahi ni wale vigogo na familia zao waliotumbuliwa, wenye vyeti feki, mafisadi na wana ufipa.
Huko kutumbuliwa kwa wenye vyeti feki kumekusaidia nini endapo Patrol ya Serikali inazidi kupanda kila mwezi?
 
Lakini zile ndege hazijaandikwa CCM wala kupakwa rangi ya kijani [emoji860]

Ninadhani la msingi ni viongozi kuwa viburi na pengne kutukuza uchama zaidi kuliko kuwatumikia wananchi..

Je kuna haja ya kuweka sheria kiongozi akichaguliwa hapaswi kujihusisha na shughuli za chama? Yaani chama kijiendeshe kama taasisi tu baada ya uchaguzi kuisha ili kuweka usawa na uwajibikaji wa viongozi? [emoji848][emoji848]
KIBURI CHA VIONGOZI WA AWAMU YA 5 WAFUASI WAO.
waliponunua ndege walitusema Sana wapinzani na wengine wakasema ni Mali ya CCM.
Leo ndege ikamatwe nihuzunike Kwa lipi?
wakati sio Mali yangu ni ya CCM?
Na Mimi na CCM kama chui na paka.
 
Mi katika yote magu nimempendea kutumbua vyeti feki, ila kasoro kawapendelea majeshini.
Mishahara ya waliotumbuliwa inaenda wapi, mbona payroll ya Serikali haijawahi kushuka?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Sawa ni kuelewa... So uwepo wa makanisa na misikiti bado hausaidii?
Sijasema uchawi per say, nimeongelea hali ya kuwa na hulka za kichawi, uchawi ni hali ya kutopenda maendeleo ya wengine, hata serikali yako, ni roho mbaya
 
Kama tunadhulimiwa tuna haki ya kufurahi dhulmati anapofikwa na majanga
 
Hayo unayajua wewe.ila wenzio hawajui
 
Nikusahihishe sio wananchi, sema wanamitandao, hiki tunachoongea haps jaribu kumpigia simu ndugu yako kule kijijini mlize kuhusu ndege kukamatwa atakushangaa. Ujinga tulio nap sisi wanamtandao hatujui watanzania wako wapi.
Nikirudi kwenye mada yako, uwezi kuisemea vizuri serikali kama ulikuwa una makandokando au mnufaika Wa makandokando kisha serikali ikakata mirija au ukafukuzwa. Chunguza vizuri wote wale wanaotukana na kuisema ovyo mitandaoni ni wahanga. Watataka wawe na hati miliki ya Tanzania, rais anavyo fanya mageuzi ya kimfumo kuziba mianya ya upigaji roho zinawauma, hakuna linguine zaidi ya kuwa mijitu yenye roho mbaya wanataka watanzania walipe ada za shule za milioni walipe private hospital wakati hawana uwakika Wa milo mitatu. Watatukana sana ila wameshikwa korodani na koleo.
 
Duh, Dada umetumia nguvu nyingi sana kuandika huu upupu.
Kikubwa muda ukifika tutaongea lugha moja.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…