Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,554
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongera mkuu amekuchagua wewe
Na huwa tamu kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]HAKUNA NDOA TAMU KAMA KUPENDANA KWA DHATI,nimepapenda sana hapo.
Unakuta mnazeeka huku mnapendana mpaka wanaulizana. Walizaliwa wote nini???HAKUNA NDOA TAMU KAMA KUPENDANA KWA DHATI,nimepapenda sana hapo.
Hahaha kweli mkuu ni wachache sana wanaofaidi maisha hayo ya amani na upendoUnakuta mnazeeka huku mnapendana mpaka wanaulizana. Walizaliwa wote nini???
Asante.ila sijajua nikaribie wapi??Ndoa tamu na ndoa chungu mkuu karibu mwaya
Acha uongo hahaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo mikono kama naijua vilee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha uongo hahaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wachache sana.Hahaha kweli mkuu ni wachache sana wanaofaidi maisha hayo ya amani na upendo
Ni kweli. Lakini si mwanamke pekee anayeweza kuvunja Ndoa yake. Hata mwanaume.Ndoa kuwa tamu au chungu ni wewe binafsi kuamua tu..
Mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake yeye mwenyewe
Asante eee [emoji120]Nimejifunza jambo
Nimeshuhudia."Kila nionapo picha Kama hizo huwa nabaki Kama nusu saa hivi,nikiwa nimeganda na kujiuliza,Ni furaha ya aina gani walengwa Wanayopata baada ya kuamua kwa mapenzi yao wenyewe wafanye kitu Kama hicho."
"Asikuambie mtu. Hakuna ndoa tamu Kama ya kupendana kwa dhati."
Maoni yangu ni hivi!Umejuaje mkuu?