Wengine ni wanyamaUjumbe mzuri ila kunao tunawafuta machozi na kuwapa raha kisha wao wanatuliza sisi, inakua zamu yetu kulia.
Furaha ya kupewa huwa haidumu...
Hapa ndio nimeelewa zaidi unapoint...Furaha is a state of mind. Nobody can give you it, if anyone will offer it to you then ujiandae kimwili na kiakili kupokea maumivu makubwa yatakayo zidi kiwango cha furaha aliyokupa. Coz soon or later she/he will demand something in return
If you want happiness, go and take it...
Happiness is not offered, is seized.😔
Jitahidi sana usiwekeze moyo wako ulikotoa furaha yako, na usitegemee kupokea furaha kwa unayemfurahisha, vinginevyo atakulipa machungu badala ya furaha uliyompatiaUjumbe mzuri ila kunao tunawafuta machozi na kuwapa raha kisha wao wanatuliza sisi, inakua zamu yetu kulia.
Kwakweli.Unajisikiaje ikiwa moyo wako una huzuni?
Kausha macho yako mwenyewe ili kufuta machozi ya mwingine
Katika ulimwengu huu mzuri kuna mabehewa mengi
Mengine yamebeba roho zilizovaa mavazi meusi zaidi.
Nafsi zilizopigwa na ukiwa , sononi na kukata tamaa, zingine zikiomboleza wafu wao,
matumaini yaliyokufa, furaha iliyokufa, miaka iliyokufa,
Kipofu anayetamani kuona nyota ambayo kila usiku wa manane hung'ara
Kiziwi anayetamani kusikia wimbo unaofurahisha kila asubuhi.
Toa chakula mahali ambapo mioyo yenye njaa inapigana na amri ya hatima;
Pumzika mahali ambapo mikono na miguu imechoka! Yape lesi macho yaliyojaa machozi
Imba ala zenye kuamsha hisia wape furaha, na furaha itakuvika taji la utu na kukuenzi
Umechaguliwa wewe kati ya wote.. Simama, nenda katende! Uwape furaha
Uwape tumaini jipya! Uwape faraja[emoji419][emoji375][emoji173][emoji177]
View attachment 2636090
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi kumwondolea kiumbe yoyote yule huzuni ni sehemu ya furaha yangu ...Heriel aliwahi kuandika usimsaidie maskini,Thread 'Usisaidie masikini, acha wafe' Usisaidie masikini, acha wafe
kwa falsafa ile ile mwenye huzuni hasaidiki mwache afe, laa atakuvuta kwenye shimo lake la huzuni mtumbukie wote.
kazanaBinafsi kumwondolea kiumbe yoyote yule huzuni ni sehemu ya furaha yangu ...