Furaha kuu ya Mwanaume.

Si wanaume wote. Halaf haya mambo ya mchepuko ni tabia za kujitakia. Kwann mna ovarate michepuko kuliko wake zenu
Furaha ya Mwanaume ni pale mchepuko unapoanza period baada ya kuambiwa "me sijielewi elewi".
 
Si wanaume wote. Halaf haya mambo ya mchepuko ni tabia za kujitakia. Kwann mna ovarate michepuko kuliko wake zenu
Lakini wanaume wengi huwa wanafurahi Sana hiki kitu.Yani mchepuko umemwambia nimepitiliza siku,then unfortunately P hiyo hapo!!!huwa furaha sn sn nakwambia.Wake wapo tu
 
Furaha ni pale unapoambiwa nakuja kulala huko leo
 
Hahahahaa mchepuko mingine raha sana kuzaa nayo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…