Umenigusa sana mkuu! kuna mwanamke nampenda xana coz of her moment! ila hakuna kitu kinachoniuza kama kumdanganya kwa dini ila nilifanya kwa sababu nahis ningemkosa! but now na.subir amalize masomo nimpasulie jipu! i hope alipangalo mungu mwanadamu hawez kulipangua! be i sory kwa kukudanganya! br all in all i love u