PreGE2025 Furaha Dominick ajitosa kuchukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe

PreGE2025 Furaha Dominick ajitosa kuchukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutoka Wilaya ya Kinondoni, Comrade Furaha Dominick amechukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe.

Tukio hili limekuja baada ya Bunge kuvunjwa rasmi na chama cha CCM kutangaza nafasi za kuchukua fomu za udiwani na ubunge.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Furaha amejitokeza kuingia kwenye mchakato wa uchaguzi kwa lengo la kuwakilisha wananchi wa Kawe.
Hii ni hatua muhimu kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika hivi karibuni.
Screenshot 2025-06-28 131835.png
 
Swali la kwanza kbs namuuliza, atatufanyia nini sisi wananchi wa jimbo la kawe, ambacho gwajima ameshindwa kukifanya? Kwani tuna maswali mengi sana ya kumuuliza gwajima.
Ndani ya maswali tutakayomuuliza gwajima, nawe furaha dominic, utakuwa na kitu cha kujifunza. Hata nawe bila shaka unayo maswali ya kumuuliza gwajima.
Kupitia maswali hayo hayo, nawe ujipime, je unaweza kutufanyia 1, 2, 3.
 
Back
Top Bottom